Enh akademaje?Kuna siku nikawa nachagua nguo nikawa natafuta size number kwenye upindo
Mara muuzaji akawa ananiambiaa usianhalie sana hizo number huwa zinatofautiana kulingana na nchi iliyotengenezewa hiyo nguo
Chakufanya pima shingoni.
Nikamuambia nipime shingo kwani nainunua ili nikajinyongee au nikaivae?
Itaendelea?