Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

Enh akademaje?

Itaendelea?
 
Kipimo ni sahihi
 
Ni vipimo sahihi kabsaaa,,, hata kipimo Cha kiatu sio lazima kuvaa kiatu unaweza pima Kwa kulaza kiatu kwenye mkono yaan pingili inayoshikilia kiwiko chako unalaza kiatu usawa wa soli mwanzo na mwisho kuelekea kwenye kipeps [emoji23]/ sijui mnaitaje ,,pia kupima UREFU wako ukitanua mikono yako ndio UREFU wako,, kama unapinga fanya majaribio
 
Mara zote huwa ni sahihi changamoto iwe labda hipps na urefu, pia mkono wako hadi kwenye kiwiko ni kipimo cha kiuno pia
 
Kichwa chakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi shingo yangu naiamini kinoma haijawahi kuniangusha.
 
Ni sahihi 100%
 
Au mi ndio sijui?

Kwani kipimo cha shingo ni maalumu kwa ajili ya mashati au suruali?

Lakini pia mimi sina Kitambi.

Nina mwili uliojikata kama pingili za muwa vijana wa mjini wanaita miraba minne.
Kipimo cha shingo na kiuno ni kwa ajili ya suruali na sketi. It works for me 100%
 
Mhudumu was right πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…