OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mwaka 2017 nilipima,nikaapa kauacha mademu,ila baadae nilirudiaje sielewi. nilijikuta tu nipo kifuani kwa demu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ile nimempima nikakuta majibu yanaonyesha positive ndio nikajua kweli ukimwi upo. Nilikua nadhani ni utani ila siku ile ndio nikajua kweli ngoma ipo.Kuwa makini kuanzia sasa, ukimwi upo na unaua.
😅😅😅Siku ile nimempima nikakuta majibu yanaonyesha positive ndio nikajua kweli ukimwi upo. Nilikua nadhani ni utani ila siku ile ndio nikajua kweli ngoma ipo.
Nilipoenda hospitali asubuhi yake ili nipewe dozi nzima ya PEP(maana jana yake usiku nilipewa kidonge kimoja tu na dktari wa zamu) kwenye kitengo cha ukimwi, ile nyomi niliyoikuta pale kwenye foleni nilizidi kuchanganyikiwa.
Ndani ya muda mfupi nilikonda, mawazo ya ukimwi hayaishi kichwani, nawaza nimeharibu future yangu kizembe, niliteseka sana.
Kwa sasa nimeongeza umakini, kwanza sisimamii show, ikinilazimu kupiga mechi bila condom basi lazima niwe na mafuta ama kilainishi na napiga show kitemi.
Sema ulipewa ARV,nazo hizo ARV ambazo ndio PEP ni kiini macho tu maana kama kama ARV kazi yake kubwa ni kuvubaza virusi,sasa kama hicho kirusi kimeingia ndani ya hizo SAA 72 Kinakufaje???Siku ile nimempima nikakuta majibu yanaonyesha positive ndio nikajua kweli ukimwi upo. Nilikua nadhani ni utani ila siku ile ndio nikajua kweli ngoma ipo.
Nilipoenda hospitali asubuhi yake ili nipewe dozi nzima ya PEP(maana jana yake usiku nilipewa kidonge kimoja tu na dktari wa zamu) kwenye kitengo cha ukimwi, ile nyomi niliyoikuta pale kwenye foleni nilizidi kuchanganyikiwa.
Ndani ya muda mfupi nilikonda, mawazo ya ukimwi hayaishi kichwani, nawaza nimeharibu future yangu kizembe, niliteseka sana.
Kwa sasa nimeongeza umakini, kwanza sisimamii show, ikinilazimu kupiga mechi bila condom basi lazima niwe na mafuta ama kilainishi na napiga show kitemi.
Kama majibu ni positive haiwezekani ukapewa PEP. Nyoosha maelezoSiku ile nimempima nikakuta majibu yanaonyesha positive ndio nikajua kweli ukimwi upo. Nilikua nadhani ni utani ila siku ile ndio nikajua kweli ngoma ipo.
Nilipoenda hospitali asubuhi yake ili nipewe dozi nzima ya PEP(maana jana yake usiku nilipewa kidonge kimoja tu na dktari wa zamu) kwenye kitengo cha ukimwi, ile nyomi niliyoikuta pale kwenye foleni nilizidi kuchanganyikiwa.
Ndani ya muda mfupi nilikonda, mawazo ya ukimwi hayaishi kichwani, nawaza nimeharibu future yangu kizembe, niliteseka sana.
Kwa sasa nimeongeza umakini, kwanza sisimamii show, ikinilazimu kupiga mechi bila condom basi lazima niwe na mafuta ama kilainishi na napiga show kitemi.
Unajua kusoma vizuri? Rudia kusoma.Kama majibu ni positive haiwezekani ukapewa PEP. Nyoosha maelezo
Usipime, sikushauri kabisa.Aisee kupima kipaji mi nilitembea na pic kali Mara nne bila kinga nikaja sikia ameathirika sipimi kwakweli bila kuona dalili
Duuuuh namna tu ulivyoandika.Mwaka jana December 29, 2019 niliuza mechi ama nilitembelea rim mahala pabovu balaa halafu mkoa ambao kiwango cha maambukizi kiko juu sana...
Nimependa uandishi wako mkuu.Mwaka jana December 29, 2019 niliuza mechi ama nilitembelea rim mahala pabovu balaa halafu mkoa ambao kiwango cha maambukizi kiko juu sana...