a) Kuongezeka kwa enrollment kuanzia primary mpaka university kwa miaka ya ke minne --kielimu siyo mafanikio hayo?? = walimu wangapi kwa kila shule na chuo, maabara na makitaba ngapi zipo na wangapi wamejiunga na kumaliza vizuri ????
b) Kuna program za kujenga zahanati kila kata..kusogeza huduma za afya karibu na wananchi---siyo mafanikio?? = wauguzi wapo wangapi na gharama za kuchangia huduma za afya zimeshuka kiasi gani ubora wa huduma za sasa upoje???
c) Kuongezeka kwa utalii na watalii tangu ashike nchi..siyo mafanikio hayo???= wataaliii wangapi kwa mwezi na watanzania wangapi kati yao na kiasi gani kimetumika katika kuboresha maisha ya walala hoi?????
d) Barabara za lami mpaka kigoma.rukwa nasikia dodoma-arusha is on track..siyo mafanikio hayo?? kwa miaka minne = kiasi gani cha mazao yameweza kusafirishwa kupitia hizo barabara kwa mwezi na kiasi gani kimepatikana kuchangia pato la Taifa ???
e) Uhuru wa habari and tolerance of our president to the freedom of expression..zitto ameliona hili naye..
Bana ye mnyonge mnyogeni haki yake mpeni...mlitaka awafanyeje? wana JF mbona hamna shukrani hasa wewe mwanakijiji = uhuru huo umeongezeka kiasi gani kulinganisha na enzi za chinga!????