Kupimana imani

Mm naomba waendelee na hyo kupima iman waje watupime na wengne hapa. Watapata majibu.
Ww unampima simba kama mzee au ni kijana kwa kumwachia kichanga? Shauri yao
 
Hapana chezea binamu Elli.Kwa hiyo huwa unatembea nazo kabisa?Kweli umetisha
Mpwa for your information tu; Pakti mbili zinakaa chini ya kapeti ya gari na sehemu fulani kando pale kwenye kimfuko cha kuwekea vitu vidogo vidogo (si umemsikia hata mleta mada kuwa alikimbilia nje kwenye gari kwenda kuchukua silaha?), Pakiti moja inaishi kwenye Wallet, piga ua ahitolewi hio hadi mnyama aliuliwe, huwa zinabadilishwa tu maana wanasema eti zikipata joto sana performance yake inapungua. Yote haya ni baada ya siku moja kuuziwa hizo silaha Pale Machi Machi (Dar es Salaam) kwa buku tatu wakati zimeandikwa kwa msaada wa Ndugu zetu weusi wa marekani hahahaahahhahaaaaaaa dont take it too serious. Njoo tule mlo wa mchana
 
Ingawa ni Global Publishers, lakini kuna funzo fulani hivi.
 
Am confused
Baba mkwe kujihusisha kwenye huo upuuzi
It means huyo mdogo wake mkewe mtarajiwa akija kuolewa mtihani atakaopewa utakuwa kutoka kwa mkeo au nani
Familia zenye watu wenye ethics hawawezi kukufanyia trial kama hiyo

Ni tamthilia hii usijichoshe
 

Mwenzio ndio nimechakulia siriazi hivyo.Kuanzia leo nitaanza kukuogopa maana mhhhh???By the way unakula nini na mie nije maana njaa inauma sana
 
Hizi ni sms za kipuuzi za kwenye simu dont take sirious at all
 
Sio educative wala nini mie naona inahamasisha ngono tena ile ngono zembe maana akikutwa si mvumilivu na asiyejali kinga angemrarua huyo shemeji mtu mpaka washangae wenyewe

Me naamin kwakuwa walikuwa wanampima imani, tendo licngefanikiwa kwan walikua wanawafiatilia. Km ushawahi kuona mafataki wanavo tegwa binti anaambiwa afuate hadi gest chimbani halafu ndo jamaa wanatokea, yan uciombe ikukute. Hivyo jamaa hata angeenda, wangemrudisha ngaz ya mwisho ndo maana bint alimwambia nifuate ghorofan kwa mazingira ya ngono ya kuiba na binti alivo vaa, sebuleni palitosha kwa fasta fasta
 
Condom za nn,mi nikiona mistari hiyo natetemeka mwili mzima.ningeanzia hapo mpaka chumbani
 
Je hii stori wewe ulikuwa ukweni au shemeji alikua kwako?
Muda huo shemeji yako amevaa nguo za kukujaribu wakwe zako walikua wamejificha mazingira yapi hata usiwashtukie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…