Kupimana imani

Kupimana imani

Mm naomba waendelee na hyo kupima iman waje watupime na wengne hapa. Watapata majibu.
Ww unampima simba kama mzee au ni kijana kwa kumwachia kichanga? Shauri yao
 
Hapana chezea binamu Elli.Kwa hiyo huwa unatembea nazo kabisa?Kweli umetisha
Mpwa for your information tu; Pakti mbili zinakaa chini ya kapeti ya gari na sehemu fulani kando pale kwenye kimfuko cha kuwekea vitu vidogo vidogo (si umemsikia hata mleta mada kuwa alikimbilia nje kwenye gari kwenda kuchukua silaha?), Pakiti moja inaishi kwenye Wallet, piga ua ahitolewi hio hadi mnyama aliuliwe, huwa zinabadilishwa tu maana wanasema eti zikipata joto sana performance yake inapungua. Yote haya ni baada ya siku moja kuuziwa hizo silaha Pale Machi Machi (Dar es Salaam) kwa buku tatu wakati zimeandikwa kwa msaada wa Ndugu zetu weusi wa marekani hahahaahahhahaaaaaaa dont take it too serious. Njoo tule mlo wa mchana
 
Ingawa ni Global Publishers, lakini kuna funzo fulani hivi.
 
Am confused
Baba mkwe kujihusisha kwenye huo upuuzi
It means huyo mdogo wake mkewe mtarajiwa akija kuolewa mtihani atakaopewa utakuwa kutoka kwa mkeo au nani
Familia zenye watu wenye ethics hawawezi kukufanyia trial kama hiyo

Ni tamthilia hii usijichoshe
 
Nimesema Salim hakuwahi kuchaguliwa na wananchi hata mara moja, siku zote alikuwa akichaguliwa na Mwalimu, hakuwahi hata kugombea ubunge labda tungeelewa msimamo wa wananchi,

sasa siku alipojaribu kugombea, tumejionea wenyewe jinsi siku zote za uongozi wake wa kuchaguliwa na Mwalimu ulivyokuwa unawakera wananchi kwani walimkataa kwa sababu ya rangi yake, now look at this maths,

JK= kura 1,000,
Salim= kura 400,

Sasa kweli utasema kuwa JK ana record nzuri ya siasa kuliko Salim? Au wapiga kura wa CCM walikuwa wanamuelewa JK zaidi kuliko Salim?

Sasa nyinyi mabingwa wa siasa hebu tuambieni what happened, kwa sababu hamtaki kukubali kuwa rangi ilikuwa ndio tool ya uamuzi wa CCM?

Mwenzio ndio nimechakulia siriazi hivyo.Kuanzia leo nitaanza kukuogopa maana mhhhh???By the way unakula nini na mie nije maana njaa inauma sana
 
Hizi ni sms za kipuuzi za kwenye simu dont take sirious at all
 
Sio educative wala nini mie naona inahamasisha ngono tena ile ngono zembe maana akikutwa si mvumilivu na asiyejali kinga angemrarua huyo shemeji mtu mpaka washangae wenyewe

Me naamin kwakuwa walikuwa wanampima imani, tendo licngefanikiwa kwan walikua wanawafiatilia. Km ushawahi kuona mafataki wanavo tegwa binti anaambiwa afuate hadi gest chimbani halafu ndo jamaa wanatokea, yan uciombe ikukute. Hivyo jamaa hata angeenda, wangemrudisha ngaz ya mwisho ndo maana bint alimwambia nifuate ghorofan kwa mazingira ya ngono ya kuiba na binti alivo vaa, sebuleni palitosha kwa fasta fasta
 
Condom za nn,mi nikiona mistari hiyo natetemeka mwili mzima.ningeanzia hapo mpaka chumbani
 
Hii ni true story alinihadithia rafiki yangu

Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa kike, shemeji yangu huyu hupenda kuvaa vinguo vifupi na vinavyobana,hupenda kuinama kila anapokuwa karibu nami na kunifanya mm nione mapaja yake mazuri na mistari ya....

Siku moja niliitwa na huyu shemeji yangu kwenda kuangalia kadi za mualiko wa harusi,nilipofika nilistuka kumkuta peke yake akiwa kavaa kanga moja tu, hizi kanga za india, kanga ilikuwa nyepesi kiasi cha kufanya macho yangu yaweze ona rangi ya kilichovaliwA ndani, kabla sijasema lolote shemeji yangu aliamua kuvunja ukimya kwa kufunguka juu ya hisia zake kwangu, aliomba nimpe raha angalau Mara moja kabla sijafunga ndoa na dada yake. Moyo ulianza kwenda mbio huku mwili ukitetemeka, nikashindwa kujibu kitu.

Aliniambia kama nataka mautamu basi nimfate chumbani kwake ambapo alikuwa akilala ghorofani, akanza panda ngazi kuelekea kwake kwa mwendo wa madaha na kuniacho nimekodoa mimacho kama mjusi aliyebanwa na mlango��, nikitizama kanga iliyokuwa inasogea kutokana na hatua zake.

Mwili ulinisimka,nikahisi baridi hivi oooh,nilisimama kwa mda kisha nikageuka na kuutazama mlango wa kitokea nje. Nikosogea mlangoni na kutoka nje kwa haraka mno nikielekea nilikopaki gari yangu, ghafla nikaona kundi la familia ya wakwe zangu wakinipigia makofi.

Huku machozi yakimtoka,baba mkwe alinifuata na kunikumbatia. Akasema "familia imefurahi kwa kufahulu hili jaribio, karibu sana ktk familia yetu''
Nilivuta pumzi kwa nguvu kisha nikatabasamu kwa furaha oooohm asante Mungu maana nilikuwa naenda kwenye gari kuchukua condom zangu.
Je hii stori wewe ulikuwa ukweni au shemeji alikua kwako?
Muda huo shemeji yako amevaa nguo za kukujaribu wakwe zako walikua wamejificha mazingira yapi hata usiwashtukie?
 
Back
Top Bottom