Kama m7 sio.
Nakubaliana nawe.Tusikaze sana shingo.Ngoja waendelee mpaka wachoke
Njia pekee ya kuwatoa ni mapinduzi ya kijeshi, jee tunao askari wazalendo wa kuweza kuikomboa nchi toka kwa hawa makaburu weusi ccm?Kwa nini tusiwatoe na kuhakikisha hawarudi milele?
Bahati mbaya sana mapinduzi ya kijeshi ( coup d'etat) hayajawahi kuleta matokeo chanya Afrika.Njia pekee ya kuwatoa ni mapinduzi ya kijeshi, jee tunao askari wazalendo wa kuweza kuikomboa nchi toka kwa hawa makaburu weusi ccm?
Hawa wendawazimu wamenogewa na staili ya Magufuli ya kuengua wapinzani na mwakati watafanya kama walivyofanya 2020 ili waendeleze bunge la kijani tupu na watazidi kutunga sheria kandamizi zaidi ili waendelee kutawala. CCM wamekataa ustaarabu wa kuheshimu maoni ya Watanzania kupitia sanduku la kura hivyo kuwaondoa madarakani ni lazima kwa nguvu. CCM imekoma kuwa chama cha siasa na imekuwa ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wao wa kidhalimu.Bahati mbaya sana mapinduzi ya kijeshi ( coup d'etat) hayajawahi kuleta matokeo chanya Afrika.
Imethibitika wapinduaji baadae hung'ang'ania kubaki madarakani bila ya kikomo hata kama wakati wanapindua walisema watarejesha utawala kwa kiraia.
Madikteta wengi Afrika waliingia madarakani Kwa mapinduzi. Tujiulize tunashindwaje kuilazimisha CCM iheshimu uchaguzi na matokeo yake?
epukeni ushirikina na kutumia ramli na kafara kupata uongozi ndani ya vyama vyenu vya siasaTlaatlaah, Lucas Mwashambwa au nasema uongo ndugu zangu?
Mimi nilishawahi kumwambia jamaa siku moja, ifike hatua wanaojihusisha na siasa waachane nayo hasa vyama pinzani vikubwa harafu tuangalianeNi machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kama haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?
Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?
Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!
Naomba kutoa hoja.
Hiyo ni kumsusia fisi buchaNi machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu kupotea au kuuwawa kwa sababu za kisiasa, huku kukiahidiwa chunguzi zisizokuwa na majibu.
Kama haya yanatokea na tatizo ni dhana ya demokrasia na utawala jumuishi tu, kutokuwa zimeridhiwa vilivyo?
Kwamba kama waliopo madarakani wakiachwa watawale milele ndiyo suluhisho la haya?
Kwa hakika kupisha machungu ya namna hii ipendekezwe walioko madarakani waendelee kutawala hadi watakapojichokea!
Naomba kutoa hoja.
Hii dhana ya malipo ni hapa hapa duniani hutumiwa na wanyonge baada ya kushindwa mpamabano.Muovu anapofanikiwa usimwonee wivu, kila teneo linahesabiwa na kulipwa hapa Duniani.
tatizo la kijeshi wakishaitoa ccm hautawapangia nani atawale na atawale vipi? wanaweza baki ccm haohao katika mfumo wa kijeshiNjia pekee ya kuwatoa ni mapinduzi ya kijeshi, jee tunao askari wazalendo wa kuweza kuikomboa nchi toka kwa hawa makaburu weusi ccm?
Njia pekee ya kuwatoa ni mapinduzi ya kijeshi, jee tunao askari wazalendo wa kuweza kuikomboa nchi toka kwa hawa makaburu weusi ccm?
Sawa lakini wanaotawala wasiwatoze wananchi kodi
Nakubaliana nawe.Tusikaze sana shingo.Ngoja waendelee mpaka wachoke
Muovu anapofanikiwa usimwonee wivu, kila teneo linahesabiwa na kulipwa hapa Duniani.
2pac once said," The death is not the great loss in life. The great loss in life is what dies inside you when you're still alive"
Ukitaka kuwatoa ndo km hivyo uwe tayari kupoteaKwa nini tusiwatoe na kuhakikisha hawarudi milele?
Ukitaka kuwatoa ndo km hivyo uwe tayari kupotea