Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nadhani kipindi kijacho kuwe Na option ya kujaza fomu online. Na urejeshwaji usiwe siku moja angalau ziwe tatu.
Na zikiwa hacked huko mtandaoni...malalamiko yasiwepo!!!Hata hivyo, wazo lako zuri sana kama udhibiti wa kutosha wa teknolojia utakuwepo.Nadhani kipindi kijacho kuwe Na option ya kujaza fomu online. Na urejeshwaji usiwe siku moja angalau ziwe tatu.