Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kama mtu ataamini kwamba akipora fomu au kumteka Mgombea mwenzake basi atakuwa amepita bila ya kupingwa, hiyo inajenga tabia ya kihalifu.
Wanasiasa wenye woga wa kushindana na wanasiasa hutukia njia zote za kihalifu ili waonekane wamepita bila ya kupingwa.
Hivi Katiba si inasema kuna haki ya kuchagua na kuchaguliwa. Hivi vyama vya siasa vinawezaje kupora haki ya kupiga kura ya wananchi wa eneo husika??