britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Ujinga wa walio na mamlakaMbinu chafu za NEC na CCM.
CCM ndiyo wanaivuruga Aman ya Nchi..mapingamizi ndiyo chanzo cha kuvurugika amani wakati wa chaguzi zetu.
..yanasababisha vurugu, tensions, na mihemko, isiyokuwa ya lazima.
CCM ni kiiini cha Sumu ya DemokrasiaNi uhuni na udhalimu wa CCM wakishirikiana na NEC na vyombo vyao vya ulinzi na usalama. Ila mwaka huu ndo mwisho wake. Nguvu ya umma lazima iseme jambo mwaka huu
Ajabu Sana hili, Kama mtu anapita bila kupingwa hiyo haki ya kuchagua na kuchaguliwa inatekelezwa vipi?Kupita bila kupingwa ni mtindo wa zama za mawe.Tutapata wapi Sera zako wakati kampeni hakuna.
hee mimi nilidhani sheria ndio ilivyo kwa sasa kumbe Tume imeamua wenyewe wengine yapite bila kupingwa. tisaidiane huku kupita bila kupingwa tumeanza awamu ya tano au.Hata angekuwa anagombea Yesu, Mtume Mohammed au Ibrahim, bado watu wangejitokeza kuwapinga kwa Hoja mbadala,
Hivi Leo hii sababu gani yaweza kumfanya mtanzania anayetaka uongozi apite bila kupingwa nje ya Uzwazwa wa wanaoongozwa sehemu husika?
Hakuna mtu sahihi au anayeweza kukubalika 100% kwa watu wote, hivyo kupingwa lazima kuwepo,
Leo hii unashangaa majimbo kadhaa wamepita bila kupingwa,
Hii ni Ama njama za NEC kuwaengua washindani kwa figisu figisu, na kuibeba CCM!
Sifa gani za mgombea anayeweza kupita bila Kupingwa?
Au Jimbo linapaswa kuwa na maendeleo gani ili kiongozi wake aendelee kupita bila Kupingwa?
Kwa kifupi hakuna!!!
Pia, tunaendelea kuwatishia watu kwamba CCM ikitoka madarakani amani itatoweka, hizi ni habari zilizozoeleka na Kupitwa na wakati