Uchaguzi 2020 Kupita bila Kupingwa ni Mbinu chafu za NEC Au kukubalika kwa CCM?

hahaaa leo kweli ndio mnayaona hayo mapungufu, kweli safari ni ndefu na linavyoongelewa utadhani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio imetunga sheria. Bahati nzuri hao walioko upinzani leo wanaopiga kelele kama wendawazimu ndio walioshiriki kutunga sheria hiyo mwaka 1992 ulipoanzishwa mfumo wa vingi vya siasa nikukumbushe tu soma vifungu hivyo kwenye attachment
 
Attachments

Kwa heshima na taadhima,nami naomba kukukumbusha kuwa, baada ya kufutwa 1965, mfumo wa vyama vingi ulirudi 1992, lakini uliingia bungeni baada ya uchaguzi wa 1995.Amen
 
Back
Top Bottom