Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

Mimi neno NDWELE sijawahi kuelewa maana yake.

"Yaliyopita si NDWELE tugange yajayo"
 
Direct to the topic...tangu tunazaliwa,makuzi yetu,shuleni,had utu uzima...lazima Kuna neno au msemo bado hujapata mantik yake Hadi leo...kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana midemo,nahau na maneno mbali mbali.mimi binafs Kuna maneno na misemo ambayo Hadi leo bado yananiumiza fuvu....HAWALA YA FEDHA....TIME IS MAKANGABILITE....HUDHURUNGI...SAMAWATI,nk....naimani pia Kuna watu wengine Kuna maneno na misemo bdo hawajapata maana au mantik yake Hadi leo.tupeane madini!
Mbengo zafongoka.

Vijana wa dar,wanalisema Sana hilo neno
 
Back
Top Bottom