Kupitia Clouds Fm, Patoranking amkubali Zuchu

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI.

Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali kutoka nchini Tanzania ni zuchu wa WCB WASAFI.
 
Muanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
 
Usimfokee basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…