Kupitia Clouds Fm, Patoranking amkubali Zuchu

Kupitia Clouds Fm, Patoranking amkubali Zuchu

Nani kakudanganya mkuu
Baada ya bifu Ruge akukaa saana akaanza kuugua mpaka umauti
Diamond ukiachanana tu na kuimba teyali ameshakua tasisi anaajiri watu,ana fanbase kubwa, Ni ambassador wa makampuni mengi,ana tamasha lake,amewekeza kwenye media hapo unashindana nae vip?
 
Kama ni mmoja mbona diamond hapat airtime hapo mawingu fm

Una maswali ya kitoto sana [emoji23][emoji23]....wenzio wako kwenye biashara kutengeneza kama beef nyie mpambane huku kwenye mitandao muwataje wao tu sasa akijulikana ni mtu mmoja nyinyi muda gani mtabishana [emoji1787]
 
SIERA Acha kutupigia porojo mzee hiv ingekuwa media ya huyo kusaga Diamond angejaza mashabiki wake na ndugu zake mule kwenye wasafi media hivi unazani mtu Kama juma lokole angeajiliwa?Romy Jones ambaye Ni Kaka wa Diamond angekuwa vice president wa Wasafi media?issa Platnumz ambaye Ni fan wake diamond angepewa kuwa producer wa sports arena? Unadhani lukamba ambaye Ni video grapher wa diamond angekuwa graphics designer wa Wasafi media?Wasafi wangekuwa wanapiga ngoma za watu waliogombana na kusaga na Ruge mf.Jide,Rama Dee n.k
joseph1989
sumbai
 
Safi sana.

Ameulizwa ni up coming artist gani anaowafatilia Tz.

Akasema msanii mpya wa Harmonize na msanii mpya wa Diamond.
Mamy baby akauliza tena, wakike ni yupi kubalance gender, jamaa akasema msanii wa Diamond ni female artist.
 
SIERA Acha kutupigia porojo mzee hiv ingekuwa media ya huyo kusaga Diamond angejaza mashabiki wake na ndugu zake mule kwenye wasafi media hivi unazani mtu Kama juma lokole angeajiliwa?Romy Jones ambaye Ni Kaka wa Diamond angekuwa vice president wa Wasafi media?issa Platnumz ambaye Ni fan wake diamond angepewa kuwa producer wa sports arena? Unadhani lukamba ambaye Ni video grapher wa diamond angekuwa graphics designer wa Wasafi media?Wasafi wangekuwa wanapiga ngoma za watu waliogombana na kusaga na Ruge mf.Jide,Rama Dee n.k
joseph1989
sumbai
Huyo Lokole wako alikuwa Classic Fm ya Kusaga baada ya kubadilishwa kuwa ya kiswahili kutoka kutangaza kwa English..How valid is your point then?

Kwani ukikubali hata kinafki kuwa Wasafi ni ya Diamond na Kusaga(Wife) utakufa??
 
Nani kakudanganya mkuu
Baada ya bifu Ruge akukaa saana akaanza kuugua mpaka umauti
Unajua bifu la mond na ruge lilianza mwaka gani?

Ruge alishachelewa sana.Ndo maana mondi wakati yuko times na lily ommy akawaambia hakuna wa kumshusha wala kumpoteza labda yeye mwenyewe apende.

Mond alishakuwa mkubwa kushinda ruge,ruge alifanya kila njia akafyata mkia mpaka anakufa.

Mond ni zaidi ya msanii.
 
Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI.

Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali kutoka nchini Tanzania ni zuchu wa WCB WASAFI.
XXL hawakukata matangazo??
 
Unajua bifu la mond na ruge lilianza mwaka gani?

Ruge alishachelewa sana.Ndo maana mondi wakati yuko times na lily ommy akawaambia hakuna wa kumshusha wala kumpoteza labda yeye mwenyewe apende.

Mond alishakuwa mkubwa kushinda ruge,ruge alifanya kila njia akafyata mkia mpaka anakufa.

Mond ni zaidi ya msanii.
mkuu utaua upate kesi coz comment za namna hii huwapa pressure hater
 
Huyo Lokole wako alikuwa Classic Fm ya Kusaga baada ya kubadilishwa kuwa ya kiswahili kutoka kutangaza kwa English..How valid is your point then?

Kwani ukikubali hata kinafki kuwa Wasafi ni ya Diamond na Kusaga(Wife) utakufa??
Nyinyi mnasema wasafi ni ya kusaga na Diamond yupo Kama kivuli ndio maana nimetoa hiyo hoja
 
Muanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu
Jf watu huwa kuna watu wana walisha upepo sana wenzao
 
Wasafi Company Limited ni kampuni ya burudani iliyoanzishwa na kumilikiwa na msanii Diamond Platnumz

Kampuni ya Wasafi inamiliki vitu vifuatavyo;-
1. Wasanii chini ya Wasafi Classic Baby Label (WCB Label)
2. Matamasha mbalimbali ya muziki, ikiwemo tamasha lao la kila mwaka la Wasafi Festival
3. Vyombo vya habari (Media Houses) ambavyo ni Wasafi Fm na Wasafi Tv
4. Uzalishaji wa miziki chini ya Wasafi Studio
5. Utengenezaji wa video chini ya Zoom Extra
6. etc

Namba 3 ndo inayoleta utata sana na kufikia kiwango cha kudai kuwa Wasafi nzima kuanzia 1-6 vinamilikiwa na Kusaga, wakati ni kasehemu tu kadogo ka Wasafi

Hiyo ni wasafi. Tuje kwa Mond...

Kwanini wanadai kuwa Diamond ni taasisi inayojitegemea? Ni hivi, kupitia jina la mond kuna vitu vingi vimeanzishwa na kusimama kiasi kwamba hata akitoweka leo bado vitasalia na vitaendelea kukua

Mfano wa vitu hivyo ni km ifuatavyo;-
1. Diamond karanga
2. Chibu perfume
3. Watu mbalimbali wananufaika kupitia jina lake hasa waandishi wa habari wachanga
4. Jamii kiujumla
 
Back
Top Bottom