Diamond ukiachanana tu na kuimba teyali ameshakua tasisi anaajiri watu,ana fanbase kubwa, Ni ambassador wa makampuni mengi,ana tamasha lake,amewekeza kwenye media hapo unashindana nae vip?Nani kakudanganya mkuu
Baada ya bifu Ruge akukaa saana akaanza kuugua mpaka umauti
Acha wivu mzeeWe uliyesema mtu anayemiliki Mark X hashindwi kujenga nyumba sina cha kubishana na wewe.
Wasalimie wazazi hapo home.
Kwani zuchu ndio nani?
Kama ni mmoja mbona diamond hapat airtime hapo mawingu fm
SIERA Acha kutupigia porojo mzee hiv ingekuwa media ya huyo kusaga Diamond angejaza mashabiki wake na ndugu zake mule kwenye wasafi media hivi unazani mtu Kama juma lokole angeajiliwa?Romy Jones ambaye Ni Kaka wa Diamond angekuwa vice president wa Wasafi media?issa Platnumz ambaye Ni fan wake diamond angepewa kuwa producer wa sports arena? Unadhani lukamba ambaye Ni video grapher wa diamond angekuwa graphics designer wa Wasafi media?Wasafi wangekuwa wanapiga ngoma za watu waliogombana na kusaga na Ruge mf.Jide,Rama Dee n.kUna maswali ya kitoto sana [emoji23][emoji23]....wenzio wako kwenye biashara kutengeneza kama beef nyie mpambane huku kwenye mitandao muwataje wao tu sasa akijulikana ni mtu mmoja nyinyi muda gani mtabishana [emoji1787]
Acha ukuda wewe mimi nimeweka taarifa sawa tusasa wewe unataka kusemaje ndo kashatajwa sasa
Mzee naona una wivu sanaAcha ukuda wewe mimi nimeweka taarifa sawa tu
Kiroho safi wakamsaidia kutaja jina la msanii husika.Hawaja kata matangazo??
Huyo Lokole wako alikuwa Classic Fm ya Kusaga baada ya kubadilishwa kuwa ya kiswahili kutoka kutangaza kwa English..How valid is your point then?SIERA Acha kutupigia porojo mzee hiv ingekuwa media ya huyo kusaga Diamond angejaza mashabiki wake na ndugu zake mule kwenye wasafi media hivi unazani mtu Kama juma lokole angeajiliwa?Romy Jones ambaye Ni Kaka wa Diamond angekuwa vice president wa Wasafi media?issa Platnumz ambaye Ni fan wake diamond angepewa kuwa producer wa sports arena? Unadhani lukamba ambaye Ni video grapher wa diamond angekuwa graphics designer wa Wasafi media?Wasafi wangekuwa wanapiga ngoma za watu waliogombana na kusaga na Ruge mf.Jide,Rama Dee n.k
joseph1989
sumbai
Unajua bifu la mond na ruge lilianza mwaka gani?Nani kakudanganya mkuu
Baada ya bifu Ruge akukaa saana akaanza kuugua mpaka umauti
XXL hawakukata matangazo??Msanii mkubwa toka nchini Nigeria patoranking ameonesha kumkubali msanii zuchu toka WCB WASAFI.
Kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm radio leo patoranking alisema msanii wa kike anayemkubali kutoka nchini Tanzania ni zuchu wa WCB WASAFI.
mkuu utaua upate kesi coz comment za namna hii huwapa pressure haterUnajua bifu la mond na ruge lilianza mwaka gani?
Ruge alishachelewa sana.Ndo maana mondi wakati yuko times na lily ommy akawaambia hakuna wa kumshusha wala kumpoteza labda yeye mwenyewe apende.
Mond alishakuwa mkubwa kushinda ruge,ruge alifanya kila njia akafyata mkia mpaka anakufa.
Mond ni zaidi ya msanii.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣XXL hawakukata matangazo??
Nyinyi mnasema wasafi ni ya kusaga na Diamond yupo Kama kivuli ndio maana nimetoa hiyo hojaHuyo Lokole wako alikuwa Classic Fm ya Kusaga baada ya kubadilishwa kuwa ya kiswahili kutoka kutangaza kwa English..How valid is your point then?
Kwani ukikubali hata kinafki kuwa Wasafi ni ya Diamond na Kusaga(Wife) utakufa??
Salimia wazazi/walezi hapo home.Acha wivu mzee
Wivu gani sasa mbona hujielewiMzee naona una wivu sana
Jf watu huwa kuna watu wana walisha upepo sana wenzaoMuanzisha mada una yako tu mbona patoranking kataja wasanii wengi tu kamtaja harmonize, alikiba na kwa upande wa kike alimtaja Vanessa mdee, uyo zuchu hakumtaja jina kwani alikuwa hajui jina lake yeye alisema tu kuna msanii wa kike wa diamond ndo wakina Kennedy wakasema anaitwa zuchu..mtoa mada tumesikiliza wengi usitake kuwapotosha watu