Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM?
Ndugu Wananchi,
Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za bajaji na kwenye bodaboda karibu maeneo yote nchini ni sehemu kidogo sana ya kielelezo, feedback au taarifa ya utekelezaji wa kile CCM ilicho kiahidi kwa Wananchi wa Tanzania na imekitekeleza kikamilifu sana ,
Na bado miradi na program nyingine nyingi ziko katika hatua mbalimbali za utekelezaji, na taarifa ya kina zaidi ni mwaka ujao, stay tuned.
CCM iliahidi kwa uwazi, na hivi sasa inaeleza ilivyo tekeleza na kukamilisha ahadi zake kwa uwazi bila kificho na kwa namna mbalimbali..
Ndugu Mtanzania,
Unastahili huduma bora za kijamii kisiasa na kiuchumi. CCM iko kazini kukuhakikishia hayo yote kwa nguvu zaidi na kasi zaidi ya utekelezaji.
Huna sababu hata moja ya kujiskia vibaya au mnyonge hata kidogo. Hebu enjoy umeme wa uhakika kutoka bwawa la Mwalimu Nyerere na usafiri murua wa SGR.
Mambo mazuri zaidi yanakuja.
Nani kama CCM?
Kidumu Chama Cha Mapinduzi