Kupitia ilani ya uchaguzi ya 2020-2025, CCM iliahidi, inathubutu kutekeleza na inasonga mbele

Kupitia ilani ya uchaguzi ya 2020-2025, CCM iliahidi, inathubutu kutekeleza na inasonga mbele

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ukiangalia na kufuatila kwa makini. Kwa kiasi kikubwa sana, mpaka sasa, Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 imetekelezwa kikamilifu kwa weledi na umahiri mkubwa sana. Hili liko wazi na halina ubishi.

Kwa muda mfupi uliobaki kuelekea uchaguzi mkuu2025, CCM inatarajia kuvuka lengo na kuvunja recodi yake yenyewe ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.

Wananchi wameyaona maendeleo, wananchi wanafurahia maendeleo, wananchi wanaisikiliza kwa makini na wanaiamini zaidi CCM na serikali yake sikivu, chini ya mwana mama mahiri na shupavu Africa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.

Ni dhahiri wananchi na waTanzania wote, wana nia na hamu kubwa sana kuipa tena CCM ushindi wa kishindo katika chaguzi zijazo.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Umesahau namba ya simu Mkuu [emoji23][emoji23]

Ni muhimu sana
 
New version of mwashamba

Taifa linaendelea kuzalisha machawa na vijana wasio na tija kutwaa yamejaaa uchawa uchawa
 
Wapi katika Ilani pameandikwa bandari zetu kuuzwa Kwa wageni Kwa IGA Ile BATILI?
 
Back
Top Bottom