Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Binafsi nakosa imani kabisa,ukijimlisha na kauli zinazotoka vinywani mwa taasisi muhimu kama vile jeshi letu la polisi( IGP Siro) nk.
Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme wenyewe,uchaguzi huu utakuwa huru na haki kweli.
Naomba kushare na nyinyi ka crip kadogo kisha mseme wenyewe,uchaguzi huu utakuwa huru na haki kweli.