kunahaja ya kuyatafakari kwa kina maneno ya Dr Bashiru. Yanazaidi ya tunavyofikiria sasa,especially kunenwa na mtu kama yeye. Inanifanya niamini miaka yote ya uchaguzi upinzani unashinda lakini wazurumiwa ushindi wao.
Maneno ya Lissu huu ndio wakati wake,kwamba akiibiwa ushindi ataingiza watu barabarani kudai haki yake.
Bila kudai Hali yake kwa nguvu hawezi kupewa Hali yake kistaarabu.
Hawa akina Bashiru ndio wataiingiza nchi machafukoni.