Kupitia Kesi ya Lissu, unaiona Nguvu ya Watu wajinga wakiwa na Mamlaka na Nguvu!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???

Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.

Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??

Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
 
Ninefuatilia leo maelezo ya Lissu amedai wapo askari wanaojitambua.

Akamtolea mfano mmoja alipoenda kamatwa Songea wakati akisafirishwa kuja Dsm, askari huyo akamwambia Lissu badala tujangaike na majambazi tunahangaika kukukamata wewe.
 
CCM hawatataki watu wenye akili timamu mkuu.

Wanapenda sana akina
Dotto magari.
Mwijaku
Manara na vichaa wengine.
 
Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???

Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.

Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??

Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
ni mateso sana are aise kuishi kwa hisia potofu gentleman 🤣
 
Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???

Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.

Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??

Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
So called jenerali Mkunda ndo atakuwa kilaza kuliko wote 😂.

Hata sielewi huo ujenerali kaupataje!
 
Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???

Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.

Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??

Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
Ujinga ni hali ya kutokujua...
Upumbavu ni kujua lakini kuamua kwa makusudi kuendeleza ujinga!
Serikalini, ndani ya ccm na kwenye mifumo wengi wana vipaji vya ni upumbavu!
 
Kwa ujumla watu wasio na akili, wengi wao ni hatari sana katika jamii. Mtu asiye n akili ni rahisi sana kufanya uovu kwa sababu hana uwezo wa kutumia akili, kwa sababu akili hana, hawezi kutumia kitu ambacho hana. Polisi wanawaajiri watu wasio na akili! Unategemea nini?Watu wengi wasio na akili hufurahia na kushangilia wanapoona wana uwezo wa kuwadhibiti wenye akili. Hapo wanafarijika na kuamini wamewazidi wenye akili.

Hata hapa JF angalia mijitu isiyo akili, kama Tlaaltlaah, Mwashambwa, Mtoto wa Shule, inafurahia mauaji ya watu, utekaji na maovu mengi mbalimbali.
 
Ninefuatilia leo maelezo ya Lissu amedai wapo askari wanaojitambua.

Akamtolea mfano mmoja alipoenda kamatwa Songea wakati akisafirishwa kuja Dsm, askari huyo akamwambia Lissu badala tujangaike na majambazi tunahangaika kukukamata wewe.
 
Attachments

  • 12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    12081227_450393565146996_1442799204_n.jpg
    8 KB · Views: 9
Kwa ujumla watu wasio na akili, wengi wao ni hatari sana katika jamii. Mtu asiye n akili ni rahisi sana kufanya uovu kwa sababu hana uwezo wa kutumia akili, kwa sababu akili hana, hawezi kutumia kitu ambacho hana. Polisi wanawaajiri watu wasio na akili! Unategemea nini?Watu wengi wasio na akili hufurahia na kushangilia wanapoona wana uwezo wa kuwadhibiti wenye akili. Hapo wanafarijika na kuamini wamewazidi wenye akili.

Hata hapa JF angalia mijitu isiyo akili, kama Tlaaltlaah, Mwashambwa, Mtoto wa Shule, inafurahia mauaji ya watu, utekaji na maovu mengi mbalimbali.
Sahihi kabisa Mkuu
 
Back
Top Bottom