Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
ni mateso sana are aise kuishi kwa hisia potofu gentleman 🤣Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???
Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.
Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??
Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
Nawe ni mmoja waoni mateso sana are aise kuishi kwa hisia potofu gentleman 🤣
So called jenerali Mkunda ndo atakuwa kilaza kuliko wote 😂.Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???
Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.
Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??
Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
Ujinga ni hali ya kutokujua...Ukianza na Serikali yote , Njoo kwenye Chama, kuanzia Wajumbe wa Halmashauri Kuu, Kamati Kuu, ni nani mwenye Akili yaan ni nani mule ana Akili???
Hata tukipitia safari zao za Kielemu !!!.
Sasa hivohivo, njooo Jeshi la Polisi, wlae Top Officials, Nani ana akili pale??
Kwa Ufupi, Tunataliwa na mijitu mijinga, Újinga na Roho mbaya ni Chanda na Pete
Ninefuatilia leo maelezo ya Lissu amedai wapo askari wanaojitambua.
Akamtolea mfano mmoja alipoenda kamatwa Songea wakati akisafirishwa kuja Dsm, askari huyo akamwambia Lissu badala tujangaike na majambazi tunahangaika kukukamata wewe.
Sahihi kabisa MkuuKwa ujumla watu wasio na akili, wengi wao ni hatari sana katika jamii. Mtu asiye n akili ni rahisi sana kufanya uovu kwa sababu hana uwezo wa kutumia akili, kwa sababu akili hana, hawezi kutumia kitu ambacho hana. Polisi wanawaajiri watu wasio na akili! Unategemea nini?Watu wengi wasio na akili hufurahia na kushangilia wanapoona wana uwezo wa kuwadhibiti wenye akili. Hapo wanafarijika na kuamini wamewazidi wenye akili.
Hata hapa JF angalia mijitu isiyo akili, kama Tlaaltlaah, Mwashambwa, Mtoto wa Shule, inafurahia mauaji ya watu, utekaji na maovu mengi mbalimbali.