Kupitia MANGUNGU LEO nimeamini SIMBA NA YANGA hutumika kuzima trending flani flani nchini

Kupitia MANGUNGU LEO nimeamini SIMBA NA YANGA hutumika kuzima trending flani flani nchini

Sio kweli! Sio kila mtanzania anamjua mangungu, sio kila mtanzania anamzingatia mangungu.
Unapofikiria jambo hata kama hslikupendezi usifikie kwenye conclusion bila kuzingatia possibility ya kuwa unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi
 
70% ya wanachi tanzani wanapenda mpira na music hivyo kati ya hao hakuna asiyemjua mangungu,injinia,gsm,mo,ahmed ally,ally kamwe hawa watu wanauwezo wakubadili upepo wa jambo flan
 
Amejitokeza leo kuizima tarehe ya leo katika kumbukumbu
 
Back
Top Bottom