MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
SikuionaHii ilishaletwa humu
Mkuu mbona sijaona maelezo yoyote yanayoonesha kusoma huyo dada ni tatizo? Unawafahamu na kujua matatizo yao kiundani?Sikuiona
Hakuna tatizo lingine ispokuwa infidelity tu.Mkuu mbona sijaona maelezo yoyote yanayoonesha kusoma huyo dada ni tatizo? Unawafahamu na kujua matatizo yao kiundani?
Huyo ni mlemavu?Hakuna tatizo lingine ispokuwa infidelity tu.
Mimi nijitolea kumpeleka huyu hapo chini chuo bora cha kilimo kuliko zote kwa babu nitagharamika kila kitu.
View attachment 3563093
MamaSamia2025 min -me
adriz de mbusii
Mbona huyo Mama kwao pesa ipo pia, its not like kapatia hela kwa mme wake.Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi ni kujiweka kwenye hatari isiyo ya lazima. Je, tubakie na wahenga waliosema "MWANAMKE LAKE JIKO"?
🤣Huyo ni mlemavu?
Nadhani uzi unarudiwaMimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo aliyoandika Magesa ninadhani waliosema mwanamke hasomeshwi walikuwa sahihi.
Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi ni kujiweka kwenye hatari isiyo ya lazima. Je, tubakie na wahenga waliosema "MWANAMKE LAKE JIKO"?
==========
Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi ukiacha chache chache sana za matukio muhimu au labda hata kwenye posts za mama yao pia labda baadhi ya watu nao wanauliza/wanajiuliza swali kama hilo .
Leo nimeona nitoe ufafanuzi ifuatavyo:
Mwaka 2001 mimi na Haika tulioana na ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT), mtaa wa Ally Khan, Upanga karibu na DIT au Regency Hospital, sherehe ya harusi baadae ilifanyika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na watu takribani 1,000 wakati ule, sherehe ilifana sana MC alikuwa FomaFoma.
Wakati namuoa Haika alikuwa ni Mwanafunzi anasomea Shahada ya kwanza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na akamaliza vizuri licha ya kuwa kwenye ndoa akiwa mwanafunzi, na tukiwa ndani ya ndoa nikamshauri asiridhike na elimu aliyoapata na nikamruhusu akasome Shahada ya Uzamili, akaenda Salford University, Uingereza nako pia akamaliza vizuri masomo yake na kwa neema ya Mungu baada ya hapo tukajaliwa watoto wazuri watatu, wawili wa kiume Paxton na Haris na mmoja wa kike Princess.
Mungu amekuwa mwema sana kwetu ametusaidia sana kwa kutuwezesha kufanya kazi na biashara zetu kila mmoja kwa bidii, maarifa, nidhamu na kujituma kwa hali ya juu na kufanikiwa kadri Mungu alivyotujalia.
Baada ya kuwa katika ndoa kwa miaka 21, yaani 2001 hadi 2022 Mahakama ya Mwanzo, Kawe, Kinondoni ilihitimisha shauri la talaka lililokuwa mahakamani hapo kwa takribani mwaka mmoja na kuanzia 2022 kila mmoja akawa huru na kwa sasa tunashirikiana vizuri kulea watoto wetu (Co-Parenting) na tunashukuru Mungu kwa yote.
Ushauri kama hakuna sababu ya msingi ya kuachana na mwenza wako, sishauri wanandoa wowote hasa kama mkiwa na watoto kufikia kirahisi uamuzi wa kuvunja ndoa ni mpaka pale itakapokuwa hiyo ndio njia salama na ya lazima kwa mustakabali mwema wa pande zote tatu yaani Mke, Mme na Watoto.
Usiingie kwenye ndoa kwa nia ya kutaka kuonekana na wewe umo au kwa nia ya ku trend, pia usiachane na mtu kwa sababu hizo hizo.
View attachment 3563016
Ila wanaume nasi tunapenda Vitu vya ovyo sana, WTF is that?Hakuna tatizo lingine ispokuwa infidelity tu.
Mimi nijitolea kumpeleka huyu hapo chini chuo bora cha kilimo kuliko zote kwa babu nitagharamika kila kitu.
View attachment 3563093
MamaSamia2025 min -me
adriz de mbusii
Ukute mwanamke anasali kwa aposto, anamposti aposto mna anamuita DADDY, umeliwa.Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo aliyoandika Magesa ninadhani waliosema mwanamke hasomeshwi walikuwa sahihi.
Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi ni kujiweka kwenye hatari isiyo ya lazima. Je, tubakie na wahenga waliosema "MWANAMKE LAKE JIKO"?
==========
Watu wengi kwa muda mrefu zaidi ya miaka 4 sasa wamekuwa wakiuliza maswali katika baadhi ya posts zangu mama wa watoto hawa mbona hawamuoni ? kwenye picha nyingi ukiacha chache chache sana za matukio muhimu au labda hata kwenye posts za mama yao pia labda baadhi ya watu nao wanauliza/wanajiuliza swali kama hilo .
Leo nimeona nitoe ufafanuzi ifuatavyo:
Mwaka 2001 mimi na Haika tulioana na ndoa ilifungwa katika Kanisa la Mennonite Tanzania (KMT), mtaa wa Ally Khan, Upanga karibu na DIT au Regency Hospital, sherehe ya harusi baadae ilifanyika ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na watu takribani 1,000 wakati ule, sherehe ilifana sana MC alikuwa FomaFoma.
Wakati namuoa Haika alikuwa ni Mwanafunzi anasomea Shahada ya kwanza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na akamaliza vizuri licha ya kuwa kwenye ndoa akiwa mwanafunzi, na tukiwa ndani ya ndoa nikamshauri asiridhike na elimu aliyoapata na nikamruhusu akasome Shahada ya Uzamili, akaenda Salford University, Uingereza nako pia akamaliza vizuri masomo yake na kwa neema ya Mungu baada ya hapo tukajaliwa watoto wazuri watatu, wawili wa kiume Paxton na Haris na mmoja wa kike Princess.
Mungu amekuwa mwema sana kwetu ametusaidia sana kwa kutuwezesha kufanya kazi na biashara zetu kila mmoja kwa bidii, maarifa, nidhamu na kujituma kwa hali ya juu na kufanikiwa kadri Mungu alivyotujalia.
Baada ya kuwa katika ndoa kwa miaka 21, yaani 2001 hadi 2022 Mahakama ya Mwanzo, Kawe, Kinondoni ilihitimisha shauri la talaka lililokuwa mahakamani hapo kwa takribani mwaka mmoja na kuanzia 2022 kila mmoja akawa huru na kwa sasa tunashirikiana vizuri kulea watoto wetu (Co-Parenting) na tunashukuru Mungu kwa yote.
Ushauri kama hakuna sababu ya msingi ya kuachana na mwenza wako, sishauri wanandoa wowote hasa kama mkiwa na watoto kufikia kirahisi uamuzi wa kuvunja ndoa ni mpaka pale itakapokuwa hiyo ndio njia salama na ya lazima kwa mustakabali mwema wa pande zote tatu yaani Mke, Mme na Watoto.
Usiingie kwenye ndoa kwa nia ya kutaka kuonekana na wewe umo au kwa nia ya ku trend, pia usiachane na mtu kwa sababu hizo hizo.
View attachment 3563016
Sema hawa wameachana kwa kuheshimiana sana, hakuna kabisa mafujo fujo au vijembe.. namna hiyo, ila mwanamke mwenye watoto watatu ni single mother ultra huyo 😎Umeishi naye zaidi ya miaka 20 kama hizo pesa kumsomesha zimesharudi..Umeshamzalisha watoto watatu .
Tarizo sio kusoma ila kati ya hao watoto,mmoja sio wa magesaMkuu mbona sijaona maelezo yoyote yanayoonesha kusoma huyo dada ni tatizo? Unawafahamu na kujua matatizo yao kiundani?
AiseeTarizo sio kusoma ila kati ya hao watoto,mmoja suo wa magesa