Kupitia post ya Phares Magesa, itoshe kusema ni risk kubwa kumsomesha au kumwezesha mwanamke kiuchumi

Mzee wangu alibet hiyo kitu 80s

Hakukuwa na smart phone ila kila reel nilikuwa nayo 😎

Mzee aliteseka sana kwa kuoa dogodogo 🤭

Huwezi amini Kuna wakati nilitafuta base ya utakatifu wangu nilijihisi kabisa me ni mtoto wa Mchepuko

But huwezi amini mimi ni jibu la nyege zake za ujana wake🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…