Kupitia Sex ni rahisi sana kunyonya sifa za wale unaoungana nao

Kupitia Sex ni rahisi sana kunyonya sifa za wale unaoungana nao

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Kila mtu hubeba "mizigo" yake yenye nguvu. Unapoungana na mtu mnene, mwembamba, hasi, au asiye na utulivu wa kihisia, nguvu hiyo inaweza kuingia ndani yako.

Chagua mwenza mwenye kuleta mwanga, sio uzito.

Usione fahari kungonoka na watu tofauti tofauti.

Usiifanye ngono kuwa kama kitega uchumi chako.

Linapokuja suala la ngono kuwa makini sana

Ngono kukuharibia maisha na muongozo wake kwa ujumla ni suala jepesi mno. Nasisitiza utuvu katika hili
 
Back
Top Bottom