Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye thread sipo, wewe ndiye umeniita.Nilitaka nishangae nisimkute Kiranga humu kwenye zee la kubisha uwepo wa Mungu
watu hawataki kukubali hata iwejeHii thread ni kama kuna mtu kasema negative comments only watu hamtaki kukubari mnabeba mikosi sio
Mungu yupoKwenye thread sipo, wewe ndiye umeniita.
Inaonekana thread nikiwa sijatia neno husikii raha
Kushangaa au kutoshangaa kwako si hoja.
Hoja ni kwamba mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo.
Umeweka kauli isiyo na uthibitisho.Mungu yupo
Hakika, kupitia kwake, model itakuwa validated & calibrated vizuri tu. Kikubwa share matokeo ya research yako plsAu Ngoja niongee na Bhatzaar atuthibitishie
Maana 400 ni idadi nzuri kabisa kwa resarch
Ngumu kukuaminisha kama hauamini kwa sababu ni suala la kiimani, sisi wengine tunaamini uwepo wake kutokana matendo makuu tunayoshuhudia kwenye maisha yetu ambayo kwa uwezo wetu pekee tusingeweza kuyafanya.Umeweka kauli isiyo na uthibitisho.
Kwanza define Mungu ni nini.
Halafu.
Thibitisha kuwa yupo.
Nyeto bahati zako una baki nazo mwenyeweVipi kuhusu nyeto mkuu? 🤔🤔
Usimharibu kijana😂Nyeto bahati zako una baki nazo mwenyewe
Wallah Kesho nachukua kadi ya chama 😆😆😆Nyeto bahati zako una baki nazo mwenyewe
Mbona hesabu rahisi kabisaUsimharibu kijana😂
Hapa inagoma. Sijui vipi!!Elon Musk ana kijiji na kila mtoto ana mama yake ila muangalie alipo kwa hio amemaanisha nini?
Wanasema sio binadamu ni mjusi ndio maana imekua hivyoHapa inagoma. Sijui vipi!!
Alafu hawa bilioneazi wengi mambo haya wao ni fasta tu talaka. Anamuvi on sekunde chache mbele na bebe ingine....biashara bdo znaongezeka tu hamna kushukaWanasema sio binadamu ni mjusi ndio maana imekua hivyo
Huyo ni zaidi ya BillioneaAlafu hawa bilioneazi wengi mambo haya wao ni fasta tu talaka. Anamuvi on sekunde chache mbele na bebe ingine....biashara bdo znaongezeka tu hamna kushuka
Unapiga chini, unachukua ingine....kazi iendeleeMfano kuna mwanamke ukiwa nae kwenye mahusiano mambo yananyooka balaaa ukichange ukapata mwingine harakati zinaenda Mrama.
Una hoja mkuu, kwa sasa ni moja ya silaha kuu za maangamizi ya nafsi za watu. Kuna mzee mmoja nilisikia akisema, kwa kadiri unavyonyumbulika kwenye ngono ndivyo unakatikia destiny yako positively or negativity.Ngono kukuharibia maisha na muongozo wake kwa ujumla ni suala jepesi mno. Nasisitiza utuvu katika hili