The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mfano kuna mwanamke ukiwa nae kwenye mahusiano mambo yananyooka balaaa ukichange ukapata mwingine harakati zinaenda Mrama.Acha uongo
Si salama mkuu, unateketeza nafsi yako, fanya jitihada uache, imarisha afya ya mwili na akili, fanya mazoezi sana,Vipi kuhusu nyeto mkuu? 🤔🤔
Utaharibu uimara wako mkuuMimi naanza nyeto leo
Kuhusu akili, Pesa ipo-Huwezi kua na pesa kama huna akili, kama ni Afya nimegawanyika haswa , Sio muda nimetoka GYM .Si salama mkuu, unateketeza nafsi yako, fanya jitihada uache, imarisha afya ya mwili na akili, fanya mazoezi sana,
Imani potofu hizo kwamba wanawake wanabeba mikosiMfano kuna mwanamke ukiwa nae kwenye mahusiano mambo yananyooka balaaa ukichange ukapata mwingine harakati zinaenda Mrama.
Sio wanawake tu, hata wanaume pia, mwanaume anaweza kuwa chanzo cha kuharibu nafsi ya mwanamkeImani potofu hizo kwamba wanawake wanabeba mikosi
Ni njia iliyotumika kuzuia ngono kabla ya ndoa
Nilitaka nishangae nisimkute Kiranga humu kwenye zee la kubisha uwepo wa MunguAcha uongo
Elon Musk ana kijiji na kila mtoto ana mama yake ila muangalie alipo kwa hio amemaanisha nini?Nadharia za kufikirika
ngono itakupa maradhi tu,Sio wanawake tu, hata wanaume pia, mwanaume anaweza kuwa chanzo cha kuharibu nafsi ya mwanamke