A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Nov 27, 2024 #41 Watakudharau ila lile tendo spiritually ni hatari.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Nov 27, 2024 #42 B M F said: Au Ngoja niongee na Bhatzaar atuthibitishie Maana 400 ni idadi nzuri kabisa kwa resarch Click to expand... Si ndomana kaachiwa. Kuna power ya mwanamke mmoja hapo ni nzuri kwenye kupoteza kesi ndo imemkomboa
B M F said: Au Ngoja niongee na Bhatzaar atuthibitishie Maana 400 ni idadi nzuri kabisa kwa resarch Click to expand... Si ndomana kaachiwa. Kuna power ya mwanamke mmoja hapo ni nzuri kwenye kupoteza kesi ndo imemkomboa
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,052 Reaction score 7,375 Nov 27, 2024 #43 Aleyn said: Watakudharau ila lile tendo spiritually ni hatari. Click to expand... Sasa tufanyeje ?
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 5,736 Reaction score 18,648 Nov 27, 2024 #44 Hizo ni ramli tu, fanya ngono pale unapojihisi kufanya hivyo, hayo mengine ni porojo tu.