Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Kupitia UTT, Ninahitaji milioni 2 kila mwezi

Nafikiri mleta mada is more interested with passive investment na wadau wanampa elimu ya active investments tena wengine aggressive investments ambayo inataka dedication, maarifa na risk taking! Anyway ni nzuri kwa watu wengine wanaotaka maarifa japo ni nje ya lengo lake
 
Passive investment ndio kitu gani mkuu nipe somo
 
Utt ukiweka 35mil kwa mwezi napata kiasi gani?

Au nikajenge nyumba ya kupangisha?
 
Kwa hesabu za haraka haraka ni miezi 100 ndio utaanza kula profit.
Ni miaka Nane na ushee hivi...tuseme umepata mkopo kutoka CRDB rate 13%
Utabidi uwalipe CRDB 2,260,000 Kwa mwezi ili ku pay off kwa miaka nane.
Roughly utakuwa unalipia laki tatu kwa mwezi--lakini matunda yako utayala baada ya miaka 8.
Bora ku-invest kwenye asset tangible kama viwanja---kwa mtaji huo.
Kila la kheri.
 
Habari za wakati huu wapambanaji na msio wapambanaji. Naomba mwenye uelewa zaidi anisaidie katika hili hasa kupitia hii mifuko ya uwekezaji wa pamoja.

Ni kupitia mfuko gani wa UTT nitaweza kupata shilingi milioni 2 kila mwezi na kwa mtaji kiasi gani. Pia niliwahi kusikia unaweza kukopa bank kwa kupitia malipo haya ya kila mwezi.

Msaada wapambanaji
 
Back
Top Bottom