Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Habari wana jamii forum,Ni hv mfano mm naagiza gari kutoka Japan then nataka nishushie Dar es salaam halafu nisajilie malawi yaani bongo zipite kama IT,je kuna gharama ambazo nitatakiwa nilipie Tanzania? na gharama hizo ni bei gani?