Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

Ndo maana naogopa kuolewa kutokana na hiyo michezo,

Mhh ko kila siku jamani si mnachokana duuh!!
Unajichelewesha tu me naona. mbona utaolewa ukishakuwa, na mikuyenge utapigika nayo vizuri sana.

Na akikuchoka atatafuta mchepuko. Work hard.
 
Back
Top Bottom