Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
[emoji15] [emoji87]Kuna watu huwa wanapitisha siku nne kwani...Mimi the best i can wait ni siku mbili
Hehehehehe...wanawake wetu wa mjini hawa mbona mtagombana
Unajichelewesha tu me naona. mbona utaolewa ukishakuwa, na mikuyenge utapigika nayo vizuri sana.Ndo maana naogopa kuolewa kutokana na hiyo michezo,
Mhh ko kila siku jamani si mnachokana duuh!!