Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari.. Wanaume vipi tena mnakwama wapi?