M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Jul 23, 2026 #21 Mbaga Jr said: Kwa akili hizo utachelewa sana kwenye mafanikio Click to expand... Issue ya mafanikio ni subjective. Kwa mfano mimi kuna wakati nilikuwa nina uwezo wa ku make money kwa mwezi ni mil 1+ na nilijiona nina mafanikio wakati kuna mwingine anatamani aweze ku make laki 3 kwa mwezi.
Mbaga Jr said: Kwa akili hizo utachelewa sana kwenye mafanikio Click to expand... Issue ya mafanikio ni subjective. Kwa mfano mimi kuna wakati nilikuwa nina uwezo wa ku make money kwa mwezi ni mil 1+ na nilijiona nina mafanikio wakati kuna mwingine anatamani aweze ku make laki 3 kwa mwezi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 25, 2026 #22 Kwa nani sasa? Mwanamke au mwanaume? Cc: Mahondaw
Oho JF-Expert Member Joined Jul 21, 2026 Posts 477 Reaction score 1,258 Jul 25, 2026 #23 πππ