levocatus mathius
Member
- Jul 25, 2014
- 52
- 3
jaman wana jf mm ni kijana mwenye umri 25 ninasumbuliwa na wingi Wa nguvu za kiume kiukweli nachelewa saana kumaliza pindi nifanyapo mapenzi naweza chukua saa nzima hata chakwanza bado kutoka Mdada yeye anapiz mpaka anachoka mm bado hii imepelekea kukosa madem wadogo wadogo naofia usalama wao nachukua Wa mama ambao tayari wamesha pata watoto ndio wana himili mpaka nitapo maliza so naomba mnisaidie nifanyeje ili hizi nguvu zipungue iwe hata nusaa? msaada wako plz