kupizi nachelewa

kupizi nachelewa

Muda fulani inaweza kuchangiwa na kujichua, ile grip ya mkono ukiwa unajichua ni tofauti na uke hivyo bas ukienda kwenye uke halisi ile friction inakuwa ndogo.

Watu wengi hudhani kujichua husababisha kuwahi kumaliza tu, la hasha ila hata kuchelewa huweza sababishwa na kujichua.

Kama huwa unajichua hebu jaribu kuacha hata kwa miezi kadhaa, halafu utaona mabadiliko.
 
Duh! Unaji-promote ili upate mzigo au unamaanisha? Saa moja hauja piga ata goli moja? Wee una hitilafu. Hizo sio nguvu kama kweli unamaanisha.
 
Na mimi nina tatizo kama lako lakin kwangu hlo tatizo linajitokeza nikiwa napiga bao la pili, inachukua mda mrefu saana mpaka naanza kuvuta hisia za mabinti wengine wazur ili angalau nipizi na mara nyingi huwa naacha bila kupizi bao la pili kwa sababu mademu huwa wanalalamika sana kwamba wamechoka hadi wanahisi mashavu ya "K" kuwaka moto. Wadau tupeni ushauri jaman.

Hii mbona kawaida kwa wanaume wengi, goli la pili huwa linachukua muda. La tatu ndo kabisaaa, na nne balaa, yaani unavyozidi kwenda ndo unavyozidi kuchelewa, hivyo sidhani kama una tatizo.
 
Mimi huwa la kwanza na la pili nachekewa sana(na ndio fursa ya kuonyesha ufundi na mitindo) ila la tatu nawahi maana wife anakuwa ameanza kupiga simu kuuliza niko wapi na kwa nini sijibu meseji zake kule whatsapp
 
Back
Top Bottom