Kupofuka ghafla

Barakaeli174

Senior Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
171
Reaction score
142
Naomba msaada kuna mtoto amepofuka ghafla umri wake ni miaka 18 ilitokea ghafla jicho moja likaanza kupoteza sight hadi leo hii haoni na lingine limeanza mchezo huo.

Naomba kufahamu tatizo ni nini hana ugonjwa wowote wala maradhi ambayo tutasema huenda imesababisha maana kichwa kilikuwa kinauma tu na ndio tatizo likaendelea hivyo.

Naomba msaada.
 
Apime Blood Pressure mkuu!!
 
Kuna ugonjwa umeingia mjini unaitwa Maradhi ya Presha ya macho ni hatari unaweza kupofuka macho. Akihitaji dawa huyo mtoto ya kuweza kuona macho yake anitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Kuna ugonjwa umeingia mjini unaitwa Maradhi ya Presha ya macho ni hatari unaweza kupofuka macho. Akihitaji dawa huyo mtoto ya kuweza kuona macho yake anitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano

Unatibu glaucoma wewe?
 
Na mauchawi nayo yapo msibeze. Nguvu za giza zipo toka zamani na zimeandikwa hata kwenye bible, najua mtanibishia....... ukiona hospitali hawaoni kitu stuka! Mpeleke akaombewe.
 
Na mauchawi nayo yapo msibeze. Nguvu za giza zipo toka zamani na zimeandikwa hata kwenye bible, najua mtanibishia....... ukiona hospitali hawaoni kitu stuka! Mpeleke akaombewe.

Ni kweli
 
Nashukuru mkuu hospitali wamempima hawajaona chochote tuliamua kutompa dawa waliyotoa hospitali kwa kuhisi huenda itamsaidia ila tuliamua kuacha maana hamna haja ya kumpa dawa wakati hana ugonjwa, tumempeleka kwenye maombi na sasa ameanza kuona kwa karibu na tunaamini kuona kwake kutarudi kama kawaida dawa tuliamua tusitumie kabisa na sasa anaendelea tu na maombi
 
Wkati mwingine kuna matatizo ntu anazaliwa nayo ila yanajitokeza ukubwani, hata hayo ya macho inaweza kuwa hivyo, mara nyingi ni ngumu kutibika, ila waone mabingwa wa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…