Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Naomba msaada kuna mtoto amepofuka ghafla umri wake ni miaka 18 ilitokea ghafla jicho moja likaanza kupoteza sight hadi leo hii haoni na lingine limeanza mchezo huo.
Naomba kufahamu tatizo ni nini hana ugonjwa wowote wala maradhi ambayo tutasema huenda imesababisha maana kichwa kilikuwa kinauma tu na ndio tatizo likaendelea hivyo.
Naomba msaada.
Naomba kufahamu tatizo ni nini hana ugonjwa wowote wala maradhi ambayo tutasema huenda imesababisha maana kichwa kilikuwa kinauma tu na ndio tatizo likaendelea hivyo.
Naomba msaada.