Kupokea mahari ni sawa na kumuuza binti yako (tunauza mabinti kwa wanaume)

Si sawa aseee nina kaka angu kaambiwa mahari milion tatu
 
Mwanamke ni tunu.....mwanamke ni shani.......mwanamke ni ua.......mwanamke ni alama ya upendo na furaha......mwanamke ni kiungo muhimu sana katika maisha ya mwanaume.......ni kiumbe pekee kinachotuhakikishia tulizo la nafsi na nyoyo zetu kwa malezi yao yaliyo bora kwetu kwetu........
Kutoa mahari kwa mwanamke sio kwa kuwa unamnunua la hasha....bali kithibisho kuwa unajua umuhimu wake maishani mwako na kukiri kuwa maisha yako hayajakamilika bila ya uwepo wake kwako.........
 
Biblia yenyewe iliyoniwekea ndoa inanilazimu ni lazima nimpose binti alafu wewe unasema eti ni mauzo,
 
Mwanamke ni tunu.....mwanamke ni shani.......mwanamke ni ua.......mwanamke ni alama ya upendo na furaha......mwanamke ni kiungo muhimu sana katika maisha ya mwanaume.......ni kiumbe pekee kinachotuhakikishia tulizo la nafsi na nyoyo zetu kwa malezi yao yaliyo bora kwetu kwetu........
Kutoa mahari kwa mwanamke sio kwa kuwa unamnunua la hasha....bali kithibisho kuwa unajua umuhimu wake maishani mwako na kukiri kuwa maisha yako hayajakamilika bila ya uwepo wake kwako.........

hivi kumtolea mwanamke mahari kubwa pasipo kumpatia upendo wa kweli au kumpatia upendo wa kweli bila ya kutoa mahari, kipi sahihi hapa?
 
Biblia yenyewe iliyoniwekea ndoa inanilazimu ni lazima nimpose binti alafu wewe unasema eti ni mauzo, kwahiyo mamaako aliuzwa kwenu? basi mpeleke babaako mahakamani ufungue kesi

jaribu kutofautisha kati ya kumposa mtu na kumtolea mtu mahari
 
Back
Top Bottom