Kupokelewa MUHAS na Diploma ya clinical medicne as an entry qualification

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Najua unahitaji kuwa na GPA y 3.5 kupata sifa ya kujiunga na MD by TCU standards! Katika daily practice, kuna mwombaji aliyepokelewa MUHAS with this qualification? Nisaidieni information please.

Vyuo vingine vya medicine wanawapokea na wanamaliza vema tu with flying colours.
 
Hizo ni minimum requirements, sasa jiulize wewe una 3.5 gpa alafu kuna mwingine ana 4 gpa! Je utachukuliwa wewe au mwenye 4.0 gpa?
 
Muhas bila 4.4+ huchukuliwi ni chuo cha vipanga, aka soecial university hawataki vilaza

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Hapa MD wanakuchukua Ukiwa na Kwanzia 4.5
 
Hapa MD wanakuchukua Ukiwa na Kwanzia 4.5
Kwa GPA ya 4.5 diploma wanataka mtu asiye na A level ya PCB asiingie pale, deliberately done to exclude them!
 
Hatari bwana mdogo hapa ana 5.0 kutokA diploma ya lab ngoja nione kama MUHAS watamnyakua
 
Kwa GPA ya 4.5 diploma wanataka mtu asiye na A level ya PCB asiingie pale, deliberately done to exclude them!
Hivi unategemea form four with three Ds akawe MD? Kwa sasa clinical medicine wanaingia wale ambao wakekosa qualifications za kujiunga MD baada ya kumaliza PCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…