Kupona Ukimwi

Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
662
Reaction score
545
Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
 
Dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni lishe sawia basi [emoji4] kama huamini tibia ugonjwa husika then lishe ya nguvu...ondoa stress kuwa nina ngoma hivyo Mimi ni marehemu mtarajiwa...sema walahi hafi Mtu..utakuja utasema tawire [emoji4]
 
Mkuu Fikira za kizamani hizo hakuna Maradhi yasiyokuwa na dawa yake. Hakuna Dawa ay Ukimwi Ma-Hospitalini lakini kwa dawa za Asili dawa zipo na watu wanapona.

Mwenye fikra za kizaman ni ww!hzo dawa za asili ni zipi,kwnz asili maana yake ni nini mbn ata hospitalini kuna dawa za asili pia,sitaki kuamini mpk Leo kuna watu km nyie ambao bado mna fikra za miaka ile,in short dawa ya ukimwi sijawai kuisikia,mnaowasikia wote ni matapeli wa mjini mjini
 
Subirini nimalize shule. Nitahakikisha naondoa ugonjwa hata mmoja kabla sijafa.
Tuombe uzima.

-callmeGhost
 
Mwenye fikra za kizaman ni ww!hzo dawa za asili ni zipi,kwnz asili maana yake ni nini mbn ata hospitalini kuna dawa za asili pia,sitaki kuamini mpk Leo kuna watu km nyie ambao bado mna fikra za miaka ile,in short dawa ya ukimwi sijawai kuisikia,mnaowasikia wote ni matapeli wa mjini mjini
Ngoje yakukute umepatwa na huo Ukimwi utakuja kunitafuta muda sio mrefu kuanzai sasa. Chezea wewe Dawa za asili........Utajibeba
 
Jamani kuweni na HURUMA angalau kdg tu, kungekuwa na dawa na watu mamilion wanateseka, wanakufa , kama una uwezo huo hata ile ya loliondo ni cha mtoto, kumbuka hata wewe unaweza KUUGUA siku moja uko kitandani mtu akufanyie huo ujanja na upoteze pesa na uhai UTAJISIKIAJE ? ?
Sio tu Ukimwi tu hakuna Dawa za Hospitali, hakuna Dawa Ma-Hospitali Dawa ya kutibu Maradhi ya Hepatitis B Virus hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa Saratani , Hakuna Dawa ya kutibu Maradhi ya kifafa Ma-Hospitalini Hakuna dawa ya kutibu maradhi ya Presha ,Maradhi ya Kisukari,Maradhi ya Pumu,Maradhi Tezi Dume Ma-Hospitalini lakini maradhi yote hayo yanatibika kwa dawa za Asili dawa za mitishamba. Mkuu amka bado upo usingizini.
 
Acheni kula hela za watu, roho za masikini mnaokesha mkiwalamba visenti vyao zitawarudia ninyi na vizaz vyenu... Hivi kweli upungufu Wa kinga mwilini (UKIMWI) unatibiwa na dawa???
Hakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.
 
Jamani mm nimepost hapa out of curiosity kutaka kujua kama jamii inajua habari hizi kwa kiasibgani. Mm si mgonjwa na wala sihitaji hizo dawa. Kuwadokezeeninkuna dawa iliyokua inatibu ebola nasikia imejaribishwa kutibu HIV kuna watu wamesaidika. Aliyenijulisha hayo ninDr mmoja yupo Masana. Kuna ndg yangu alilaza mwanaye pale mm sikujua kama yule dogo ni +ve ss mm nikaenda kwa shida nyingine za meno nikakutana na yule Dr ndo ktk story nikajua dogo wa ndg yangu ni +ve na ndo akafika kuelezea issue ya hizo dawa. Haziko popular bse Serikali haijapitisha kama dawa rasmi. Ila ilizeni Botswana Zimbabwe wanatumia nn hospitali za serikali.

Pia hawa jamaa wa tiba mbadala yupo jamaa yupo zambia huja tz somtime anafahamiana na ndg yangu fulani msabato.

Ninachosikia nibkwamba kuna baadhi ya watu(waovu) hutumia magonjwa kupiga hela yaani biashara. So mtu akiwa kiherehere kuleta dawa wakikujua unawezatangulizwa kwa Baba kirahisi. Hizo ni habari kwa nn yule mzambia hutibu kwa siri. Lkn pia hata kuhusunile dawa ya ebola nasikia ilikua mshikemshike sana huyo Dr aliyefanikiwa kuzipata kufanikiwa kuziingiza Tz bse kuna watu wachache walitaka kuhodhi.

Ss nawaomba tuendelee na viutafiti kwa level yetu tutagundua vitu. Maadam nimewapa some hints. Haifai kukomaa tu hakuna dawa hakuna dawa halafu huna uthibitisho. Ila pia kama mm sijasema kuna dawa 100% bse sijatibiwa mm au ndg yangu. Yule dogo anayetibiwa siwezi kumuuliza bro bse yy hakuniweka wazi jambo hilo
 
Hakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.
Sijui kama ulielewa nilichopost, Hivi Unaweza kuutibu vipi upungufu Wa kinga mwilini?? Yaani UKIMWi. Kwa elimu yangu ya hapa na pale Ukimwi unaweza kusababishwa na vitu vingi kama vile Lishe duni N.k....

Nieleze mtu Mwenye Upungufu Wa kinga mwilini( Ukimwi) kutokana Lishe duni tiba yako inawezaje kumtibu
 
Hiyo ni Siri yangu siwezi kukupa siri yangu kuhusu huo ukimwi ninavyotibu itakuwa ninavunja Miiko ya Utibabu .Wewe Tangu lini umekwenda kwa daktari unaumwa akakwambia tumia dawa fulani pasipo na kukuandikia hiyo dawa uende kununuwa Duka la dawa? Hiyo siri yangu jua wewe unavyo juwa lakini sitoweza kukwambia Siri yangu hata unipe pesa sitoweza kukwambia ninautibu kivipi Ukimwi.
 
Ss ww huwasaidii badala maana unawavunja moyo wankufanya kautafiti.tuacheni uvivu mkuu. Mm ninasema tena nimerusha hii kitu makusudi jitahidi kufuatilia usiwe tu mbishi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom