Nilipokuwa mtoto/mdogo niliaminishwa kuwa Albino huwa hawafi hupotea ktk mazingira ya kutatanisha. Leo ni mtu mzima sasa nimegundua kuwa kulikuwa na wajinga wenye akili zilizoganda walioamini nguvu za giza ndo waliotengeneza hiyo sentensi kuwa: ALBINO HUPOTEA: baadae nikaaminishwa kuwa UKIMWI hauna dawa, siku zikasonga wakasema kuna dawa ya kupunguza makali ya UKIMWI. Kama dawa ya kupunguza ukali wa ukimwi ipo kwanini kusiwe na dawa ya kuutibu? (dawa ipo). Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ukimwi hautibiki. Tuliumbwa kwa mfano wa MUNGU (Ninavyoamini), je kwanini uamini akili ya mtu mmoja ambaye nae aliumbwa kwa mfano wa huyo MUNGU mmoja kama wewe kwanini usisimame wewe peke yako kuchunguza badala yake uamini mawazo ya mtu? Ndugu yangu mimi si tabibu/mganga ila ninaamini kabisa kuwa dawa ipo ya kutibu UKIMWI. Eti matunda yote, mizizi yote na miti yote na vingine vingi visiweze kutibu ukimwi? Hapana, dawa ipo.