Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Mkuu utakufa na Ujinga wako maana inaonesha hata kutaka kujua hutaki.Mkuu,utatapeliwa dawa ya ukimwi hakuna!!!
Dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni lishe sawia basi [emoji4] kama huamini tibia ugonjwa husika then lishe ya nguvu...ondoa stress kuwa nina ngoma hivyo Mimi ni marehemu mtarajiwa...sema walahi hafi Mtu..utakuja utasema tawire [emoji4]Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
Mkuu Fikira za kizamani hizo hakuna Maradhi yasiyokuwa na dawa yake. Hakuna Dawa ay Ukimwi Ma-Hospitalini lakini kwa dawa za Asili dawa zipo na watu wanapona.
Ngoje yakukute umepatwa na huo Ukimwi utakuja kunitafuta muda sio mrefu kuanzai sasa. Chezea wewe Dawa za asili........UtajibebaMwenye fikra za kizaman ni ww!hzo dawa za asili ni zipi,kwnz asili maana yake ni nini mbn ata hospitalini kuna dawa za asili pia,sitaki kuamini mpk Leo kuna watu km nyie ambao bado mna fikra za miaka ile,in short dawa ya ukimwi sijawai kuisikia,mnaowasikia wote ni matapeli wa mjini mjini
Sio tu Ukimwi tu hakuna Dawa za Hospitali, hakuna Dawa Ma-Hospitali Dawa ya kutibu Maradhi ya Hepatitis B Virus hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa Saratani , Hakuna Dawa ya kutibu Maradhi ya kifafa Ma-Hospitalini Hakuna dawa ya kutibu maradhi ya Presha ,Maradhi ya Kisukari,Maradhi ya Pumu,Maradhi Tezi Dume Ma-Hospitalini lakini maradhi yote hayo yanatibika kwa dawa za Asili dawa za mitishamba. Mkuu amka bado upo usingizini.Jamani kuweni na HURUMA angalau kdg tu, kungekuwa na dawa na watu mamilion wanateseka, wanakufa , kama una uwezo huo hata ile ya loliondo ni cha mtoto, kumbuka hata wewe unaweza KUUGUA siku moja uko kitandani mtu akufanyie huo ujanja na upoteze pesa na uhai UTAJISIKIAJE ? ?
Hakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.Acheni kula hela za watu, roho za masikini mnaokesha mkiwalamba visenti vyao zitawarudia ninyi na vizaz vyenu... Hivi kweli upungufu Wa kinga mwilini (UKIMWI) unatibiwa na dawa???
Atakosaje kuniona Mungu kwani ninasema maneno ya uongo kwani? ninatibu Maradhi sugu yaliyo shindikana Ma-hospitalini bibie ndio kazi yangu mimi ni Dr.Mzizimkavu Hauchimbwi Dawa.Mzizi mkavu mungu anakuona
Sijui kama ulielewa nilichopost, Hivi Unaweza kuutibu vipi upungufu Wa kinga mwilini?? Yaani UKIMWi. Kwa elimu yangu ya hapa na pale Ukimwi unaweza kusababishwa na vitu vingi kama vile Lishe duni N.k....Hakuna Maradhi yasiyokuwa na Dawa yake Mkuu. Nimeshamtibu mimi mgonjwa wa Ukimwi yupo mjini mbeya mwaka jana na amepona kabisa.Amesha kwenda Hospitali zaidi 4 mjini mbeya na amepim zaidi ya mara 4 amekutwa yupo na HIV Negative.nilisha kuweka namb ayake ya simu humu jamvini akawa watu wanampigia simu kila siku zaidi ya Watu 50 wanamuhoji maswali mpaka akasema basi Dr.Mzizimkavu usiwape watu anamba yangu ya simu inatosha nimesha choka kuhojiwa na watu wengi kwa siku moja. Nakuna wagonjwa wengine ninao watibu mmoja yupo mjini Dar na mwengine yupo mjini Arusha na halizao zinakwenda vizuri hawatumii dawa za kuongeza umri aka ARV wanatumia dawa zangu za asili.
Hiyo ni Siri yangu siwezi kukupa siri yangu kuhusu huo ukimwi ninavyotibu itakuwa ninavunja Miiko ya Utibabu .Wewe Tangu lini umekwenda kwa daktari unaumwa akakwambia tumia dawa fulani pasipo na kukuandikia hiyo dawa uende kununuwa Duka la dawa? Hiyo siri yangu jua wewe unavyo juwa lakini sitoweza kukwambia Siri yangu hata unipe pesa sitoweza kukwambia ninautibu kivipi Ukimwi.Sijui kama ulielewa nilichopost, Hivi Unaweza kuutibu vipi upungufu Wa kinga mwilini?? Yaani UKIMWi. Kwa elimu yangu ya hapa na pale Ukimwi unaweza kusababishwa na vitu vingi kama vile Lishe duni N.k....
Nieleze mtu Mwenye Upungufu Wa kinga mwilini( Ukimwi) kutokana Lishe duni tiba yako inawezaje kumtibu
Usiseme hivyo kabisa huo ugonjwa upo kabisaKwani mbona huo ugonjwa ki uhalisia hauko! Japo ni vigumu sana mtu kuelewa