Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Wewe mzizimkavu funguka,siyo kutoa mawasiliano tu,evidence ni sahihi zaidi hata kama MTU anakutafuta ni uhakika.
Mtu atakae taka nimtibie ndio ninaye mpa ushahidi kuwa nimemtibia nani na hata namba ya simu ya huyo niliye mtibia nitampa sio kila mtu nimpe namba ya huyo niliye mtibia. Amesha choka kupigiwa simu alikuwa anapigiwa simu kwa siku zaidi ya mara 50 ameshaniambia amechoka na simu nyingi na maswali kibao kuhusu kupona kwake mgonjwa wangu wa Maradhi ya Ukimwi.
 
Ufanisi MTU anajifunzia kazini,ila hawa wenye fake vyeti wengi wao ni maboss na huwa hawapendi vijina tujifunze kazini ili tuwe tunaufanisi,mfano akisikia semina,workshop training,n.k zenye kutoa mafunzi kazini,boss ataenda wakati yeye alishapata mafunzo mengi km hayo mpaka amekuwa boss hii ni hatari sana ndo maana akifika mda wake wakustaafu anaacha ofisi hakuna mwenye uzoefu kwa maana mafunzo kazini hawajapata.
 
Wewe unapatikana mkoa gani hapa tz,maana jamaa yangu yuko hoi,nimuelekeze in real akufuate ulipo
 
Dawa ya ukimwi ipo hata chanjo ipo. Fikir. Kwanini kunamataifa makubwa ambayo hakuna waathirika wa ukimwi lakini yanaongoza kwa ngono?
 
Big Pharma’s Strategy to Create Customers Not Cures

Viwanda vikubwa Duniani havijatengeneza Dawa za kutibu Maradhi. Viwanda Vikubwa duniani Vimetengeneza dawa za kukufanya wewe kila siku uwe ni mteja wao kununuwa Vidonge vyenye sumu na kutumia mpaka utakapo fika wakati wako wewe kufa na usiweze kupona kamwe wabongo muwe waangalifu dawa za kuponya na kutibu ni dawa za mitishamba peke yake vidonge haviwezi kukuponyesha.
 
mkuu kubaliana na hali yako,hiko kiasi ulichobakia nacho kikusaidie kuishi kwa matumaini,UKIMWI hauna dawa,utatapeliwa bure upate msongo mkali wa mawazo ufe kabla ya siku zako,ridhika tu na matokeo ya matendo yako ya nyuma!
 
Kuna mwanajf humu anatoa tiba ila kwa masharti haya:1. Usiamini kama kuna ugonjwa unaitwa UKIMWI
2. Uwe tayari kufuata taratibu zake

Lakini jina limentoka, huyu anapatika kwenye lile jukwaa la intelligence
 
Deception
 
Dawa ipoo imepatikana Spain..ila bado haijaanza kukuagaaa..vuteni subiraa
 
Dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni lishe sawia basi [emoji4] kama huamini tibia ugonjwa husika then lishe ya nguvu...ondoa stress kuwa nina ngoma hivyo Mimi ni marehemu mtarajiwa...sema walahi hafi Mtu..utakuja utasema tawire [emoji4]

Nina uncle wangu Nunda maana ana UKIMWI mwaka wa 10+ sasa na hajawahi kutumia hayo madawa yao akipima akakuta CD4 zimeshuka anapambana na misosi na vitu vingine yupo mkoani uko anawapiga hela wazungu kwa NGO yake fake kila tukikutana naishia kucheka yeye akikaa sehemu haoni shida kusema mimi naishi na vidudu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu kubaliana na hali yako,hiko kiasi ulichobakia nacho kikusaidie kuishi kwa matumaini,UKIMWI hauna dawa,utatapeliwa bure upate msongo mkali wa mawazo ufe kabla ya siku zako,ridhika tu na matokeo ya matendo yako ya nyuma!
Mkuu nafanya research mm sina wadudu washa
 
Jamani nimeuliza bse nimeshapata tetesi pande zote. Dawa za kifamasia na hizi mbadala. Na nimethibitishiwa kuna waliopona. Jaribuni na nyie kuulizia au kufanya kautafiti kadogo
Labda utusaidie unaposema kupona HIV una maana gani? Maana kiataalamu iko hv mtu akitumia dawa muda mrefu kinga inaimarika magonjwa nyemelezi yanaondoka na dawa zikimkubali hata viral load inakuwa chini kiasi zile antibodies zinazotakiwa kwa kipimo kusoma Reactive zinakwisha ukipima unakuwa Negative lkn hii haikuhakikishii kwamba umepona unaweza ukapumzika dawa kwa muda then wadudu wanazaliana tena na usipokuwa makini unakufa fasta utaalamu unasema ukishakuwa Seroconverted utabaki hivyo for rest of your life.
 
Mkuu Muache huyo ana Fikra za kizamani hizo hakuna Maradhi yasiyokuwa na dawa yake. Hakuna Dawa ya Ukimwi Ma-Hospitalini lakini kwa dawa za Asili dawa zipo kutibu Ukimwi na watu wanapona.
Kwanini msizipeleke Mahospitalini hizo dawa? Watu wakazifanyia research na kutengeneza zilizo bora kwani unadhani dawa za wazungu source yake ni nini nyingi zinatokana na mitishamba tuache kulaumu km tunajiamini tuishikishe serikali.
 
Nkisha zipeleka Hospitali wakisha kugunduwa Source ya dawa zangu mimi nitapata faida gani?Dawa zangu hizo hapo na zinatibu Ukimwi.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…