dawa lishe tu..huyu kirusi kila mtu anae ila hana madhara mwilini[emoji4] wame-fake vipimo ili kutufadhaisha kisaikologia wafanye biashara ya dawa..anaebisha aanze dose wanayoita kuongeza muda wa kuishi kama hakufa mapema [emoji4]Nina uncle wangu Nunda maana ana UKIMWI mwaka wa 10+ sasa na hajawahi kutumia hayo madawa yao akipima akakuta CD4 zimeshuka anapambana na misosi na vitu vingine yupo mkoani uko anawapiga hela wazungu kwa NGO yake fake kila tukikutana naishia kucheka yeye akikaa sehemu haoni shida kusema mimi naishi na vidudu [emoji23][emoji23][emoji23]
waumize tuu hao hao mkuu acha utapeli kwa nn usijitokeze hadharani kuliko kujificha na utapeli wako ww ni wa kuogopwa zaidi ya huo ukimwi dawa milion mbil mkuu mungu anakuona ujue khaaaWewe kuwa na hiyo imani yako ya kipumbavu na watu wanapona nina watibu ngojea upatwe na huo ukimwi utakuja kunitafuta mwenyewe mpumbe pumbe we.
sasa kwa nini utapeli wengi umewatapeli ndiyo maana unaweka namba zako fake acha utapeli mbwa wwMkuu wengi wa watu humu ni wajinga hawakuenda shule wamekimbia umande wa asubuhi Kuna Maradhi mengine hayawezi kutibika Ma-Hospitalini lakini kwa dawa za kienyeji yanaweza kutibika. Ukiwaambia ukweli wanakuita eti ni Tapeli waache na ujinga wao wengi humu watu wa Division zero.
Tupe majina yake kwa kiswahili tukiukwaa tutafute hii mizizi maana my 2 unakuwa labda hunaNkisha zipeleka Hospitali wakisha kugunduwa Source ya dawa zangu mimi nitapata faida gani?Dawa zangu hizo hapo na zinatibu Ukimwi.
View attachment 422139
Kwanini msizipeleke Mahospitalini hizo dawa? Watu wakazifanyia research na kutengeneza zilizo bora kwani unadhani dawa za wazungu source yake ni nini nyingi zinatokana na mitishamba tuache kulaumu km tunajiamini tuishikishe serikali.
Uongodawa lishe tu..huyu kirusi kila mtu anae ila hana madhara mwilini[emoji4] wame-fake vipimo ili kutufadhaisha kisaikologia wafanye biashara ya dawa..anaebisha aanze dose wanayoita kuongeza muda wa kuishi kama hakufa mapema [emoji4]
Silasy nimependa mchango wako maana inaonesha una utaalam au ufahamu wa tiba za kisayansi. Mm kitaaluma ni mhasibu so sipo kbs kwenye sayansi. Ila napenda sana kujifunza sana yaani. Na habari hii ya dawa za ukimwi nilipoanza kusikia nikaanza kuwafuatilia hao watu. So far walionigakikishia ni watu wangu wa karibu tu ambao hawana sababu hata1 ya kunidanganya. Ni vile sijathibitisha kwa kummonitor mtu atumiaye dawa au aliyetibiwa akapona.Labda utusaidie unaposema kupona HIV una maana gani? Maana kiataalamu iko hv mtu akitumia dawa muda mrefu kinga inaimarika magonjwa nyemelezi yanaondoka na dawa zikimkubali hata viral load inakuwa chini kiasi zile antibodies zinazotakiwa kwa kipimo kusoma Reactive zinakwisha ukipima unakuwa Negative lkn hii haikuhakikishii kwamba umepona unaweza ukapumzika dawa kwa muda then wadudu wanazaliana tena na usipokuwa makini unakufa fasta utaalamu unasema ukishakuwa Seroconverted utabaki hivyo for rest of your life.
Mbona unapanicsasa kwa nini utapeli wengi umewatapeli ndiyo maana unaweka namba zako fake acha utapeli mbwa ww
acha utapeli mzizi mkavu,dawa ya ukimwi ipo kbs ila shida ya hapa si dawa ya ukimwi shida wewe ni tapeli ukifuatwa unajizungusha kifupi hujui unalofanya,huyo hatibu ni ngumu,MPUUZIENIMkuu muache huyo mjinga kwa jina analojiita (ni ngumu) jina lake tu ni tosha utamuelewa kuwa huyu mtu hakwenda shule usishindane na wapumbavu na wewe utakuwa ni mmoja wapo wa hao wapumbavu mpuuze mbali.
Mkuu files zimevurugwa!! Loliondo hakuwa bibi bali babu mchungaji mstaafu MwaisapileMkuu usije ukawa kama yule bibi wa Loliondo !
Umeanzia mbaliiiii.........dah.Silasy nimependa mchango wako maana inaonesha una utaalam au ufahamu wa tiba za kisayansi. Mm kitaaluma ni mhasibu so sipo kbs kwenye sayansi. Ila napenda sana kujifunza sana yaani. Na habari hii ya dawa za ukimwi nilipoanza kusikia nikaanza kuwafuatilia hao watu. So far walionigakikishia ni watu wangu wa karibu tu ambao hawana sababu hata1 ya kunidanganya. Ni vile sijathibitisha kwa kummonitor mtu atumiaye dawa au aliyetibiwa akapona.
Kama kuna mtu mwenye changamoto hyo ani pm tufanye utaratibu nimuunganishe na huyu Dr aliyeko Dsm mwenye dawa za kifamasia tuone. Pls note that mm sio dalali wala sina maslahi yeyote. Nisifikiriwe vibaya
Nyanyado lzm ujieleze maana hata jambo la maana wabongo huwekamo utani kupuuza nk. Ukweli natamani kuthibitishaUmeanzia mbaliiiii.........dah.
Nilipokuwa mtoto/mdogo niliaminishwa kuwa Albino huwa hawafi hupotea ktk mazingira ya kutatanisha. Leo ni mtu mzima sasa nimegundua kuwa kulikuwa na wajinga wenye akili zilizoganda walioamini nguvu za giza ndo waliotengeneza hiyo sentensi kuwa: ALBINO HUPOTEA: baadae nikaaminishwa kuwa UKIMWI hauna dawa, siku zikasonga wakasema kuna dawa ya kupunguza makali ya UKIMWI. Kama dawa ya kupunguza ukali wa ukimwi ipo kwanini kusiwe na dawa ya kuutibu? (dawa ipo). Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ukimwi hautibiki. Tuliumbwa kwa mfano wa MUNGU (Ninavyoamini), je kwanini uamini akili ya mtu mmoja ambaye nae aliumbwa kwa mfano wa huyo MUNGU mmoja kama wewe kwanini usisimame wewe peke yako kuchunguza badala yake uamini mawazo ya mtu? Ndugu yangu mimi si tabibu/mganga ila ninaamini kabisa kuwa dawa ipo ya kutibu UKIMWI. Eti matunda yote, mizizi yote na miti yote na vingine vingi visiweze kutibu ukimwi? Hapana, dawa ipo.Mkuu,utatapeliwa dawa ya ukimwi hakuna!!!
Hakuna dawa ya UKIMWI Zaid ya me na wewe kuwa makini maana Malaya wengi na hata Kwa 2000 tu wanavua bikiniHabarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
Usipokuwa makini. Lakini dawa ipo.Matapeli ni wengi sana.
Hahahaaa BBC umenifurahisha. Ati mzizi mkavu usiochimbwa dawa umesample mtu toka mbeya akaacha wa Dsm. Lkn we si umejionea sample ya watu waliochangia wapo wasioamininkbs kama dawa ipo na wapo wanaomuona mzizi kuwa tapeli so usishangae kupata mteja kwa manati manati.MziziMkavu anaweza akawa kweli na dawa ya ktibu UKIMWI lakini wasiwasi unakuja kwamba inakuwaje utibu mgonjwa mmoja tu (wa Mbeya mjini) wakati kuna wagonjwa wengi tu, tafakari!
Mkuu Mlachake na wengine. Kimsingi mm mtoa mada siuaminishi umma wa JF kuwa kuna dawa za HIV ndo maana ukisoma ninachopost ni kuwa nina taarifa za vyanzo viwili kifamasia na mbadala. Ninabtaarifa sina mtu niliyempeleka akatibiwa. Hata hivyo INGEFAA nyie mnaopinga HAKUNA DAWA muwe mnaweka maelezo yankueleweka aubtaarifa za tafiti hv ili kutofanya mjadala huu kijiwebcha kahawa nankashata[emoji2]Hakuna Dawa ya Ukimwi
Desertambush umenikosha roho ndg yangu. Umenena ukweli mtupu. Sisi wakristo ukisoma Biblia utaona enzi za agano la kale kabla ya Yesu kuzaliwa kulikuaga na ugonjwa wa TAUNI ukisoma maandiko utagundua ukimwi mafua tu. Tauni ilikua inaua kwankasi kuliko EBOLA wasomaji wa biblia wanajua ugonjwa huo. Lakini umebaki historia. So naungana na ww na wote wenye mawazo chanya. Wasiopenda propaganda za waovu wa kimagharibi. YES DAWA IPO KAMA HAIPO SOON ITAKUWEPONilipokuwa mtoto/mdogo niliaminishwa kuwa Albino huwa hawafi hupotea ktk mazingira ya kutatanisha. Leo ni mtu mzima sasa nimegundua kuwa kulikuwa na wajinga wenye akili zilizoganda walioamini nguvu za giza ndo waliotengeneza hiyo sentensi kuwa: ALBINO HUPOTEA: baadae nikaaminishwa kuwa UKIMWI hauna dawa, siku zikasonga wakasema kuna dawa ya kupunguza makali ya UKIMWI. Kama dawa ya kupunguza ukali wa ukimwi ipo kwanini kusiwe na dawa ya kuutibu? (dawa ipo). Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ukimwi hautibiki. Tuliumbwa kwa mfano wa MUNGU (Ninavyoamini), je kwanini uamini akili ya mtu mmoja ambaye nae aliumbwa kwa mfano wa huyo MUNGU mmoja kama wewe kwanini usisimame wewe peke yako kuchunguza badala yake uamini mawazo ya mtu? Ndugu yangu mimi si tabibu/mganga ila ninaamini kabisa kuwa dawa ipo ya kutibu UKIMWI. Eti matunda yote, mizizi yote na miti yote na vingine vingi visiweze kutibu ukimwi? Hapana, dawa ipo.