Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Daylight robbery...ur typical conman mods wamelala ndio maana unapata timr na field ya kuweka opotoshaji wako
 
mkuu wewe si nasikia unawatapeli watu kuwaambia unawatibu kwa milion 2 mkuu ushapiga wengi na wakija kushituka wewe ni tajiri
Huyu jamaa sio wa kuaminika yupo uturuki ila pesa anakusanya mtu wake hapa bongo
 
Daylight robbery...ur typical conman mods wamelala ndio maana unapata timr na field ya kuweka opotoshaji wako
Mimi sijali ukinipinga mtu kama wewe huna elimu yoyote akilini mwako kwangu mimi ni poa nipinge usnitukane tu. Wamepingwa mitume wa Mwenyeezi Mungu itakuwa mimi? Ukiamuwa kunipinga wewe kwa sababu haujakupata huo ugonjwa wa Ukimwi , una haki ya kunipinga utakapo kupata ugonjwa wa ukimwi ndipo utatafuta njia ya kunitafuta nipate kukutibia. Watu kama wewe wamo wengi duniani kazi yao ni kupinga pasipo na ujuzi wa elimu nimesha wazoea. Mimi ndio Dr.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa kazi kwako.
 
Mzizi mkavu umepatikana leo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaaaaazz
 
Mzizi mkavu umepatikana leo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nafwaaaaazz
Vijana wasio lelewa vizuri na wazazi wao wananitukana watoto wa haram. Unajuwa Hawa Member wapya wa Jamii Forums wengi wao wametokea Facebook kule kwenye kubishana na kutukanana kimatusi wanapoiona Thread ay mtu basi wanakuja kuiharibu kwa kuleta maneno ya matusi.
 
nilimtapeli aliye kuzaa ukazaliwa wewe. Mimi kiumri sawa na baba yako kuwa na heshima weeee
Heshima unaijua wewe??? Zee zima unaleta upopoma nakuambia wewe tapeli huwezi kutibu Ukimwi mm nakujua vizuri ulikula Laki Nane zangu ukanipa maunga ya kiarabu halafu acha kumtumia yule jamaa yako katika shughuli zako next time namwanika hapa na utapeli wenu wa kiarabu
 
Asante kwa kunitukana Mungu atakulipa kwa hayo unayo yasema Amin. Utavuna kile ulicho kipanda.
 
Asante kwa kunitukana Mungu atakulipa kwa hayo unayo yasema Amin. Utavuna kile ulicho kipanda.
Matusi ulianza wewe kwa kumuingiza mama yangu katika thread hii...maneno yako na umri wako haviendani...wewe ni tapeli tu hata mungu anakuona
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] duh...pole sana mkuu 800,000 sio ndogo
 
pole sana kwani mgonjwa wew au ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…