Kupona Ukimwi

Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Na wewe unanitukana? Ninakuapia kwa jina la Bwana Yesu Kristo mdomo wako utaangamia ulaniwe mdomo wako kwa kunitukana mimi na watu waseme amin.
Kaka usilitaje jina la yesu kimzaha mzaha,,wakati umetoka kumuita mtu shoga hapo juu
Wewe ndio unatukana...tapeli sio tusi
Kwanini uwaongopee watu unautibu ukimwi 100%
Mashuhuda waliopona kwa dawa zako wapo wapi?
Umesomea udoctor wapi?
Ulifanya tafiti zako wapi?
Na kama una dawa inaponyesha kabisa kwanini usitoke hadharani utangaze ili wanaotaabika wapone?
Kwa nini unahangaika watu waje pm na kwenye email tu?
Wewe sio tapeli wewe???
 
Matusi ulianza wewe kwa kumuingiza mama yangu katika thread hii...maneno yako na umri wako haviendani...wewe ni tapeli tu hata mungu anakuona
Analalamika anatukanwa wakati mitusi kaanza yeye
 
Habarini wana jamvi. inasadikika kuna watu wanatibu HIV kwa utaratibu wa tiba mbadala lkn zipo pia tetesi kuwa kuna dawa za kifamasia kabisa japo hazikutengenezwa kwankusudi hilo kuna watundu wamejaribu ikaonekana zinasaidia kabisa. Je kuna mtu akiyewahipona ukimwi unamjua?
kula vizuri fanyya mazoezi pumzisha mwili wako ..hakuna dawa
 
Kaka usilitaje jina la yesu kimzaha mzaha,,wakati umetoka kumuita mtu shoga hapo juu
Wewe ndio unatukana...tapeli sio tusi
Kwanini uwaongopee watu unautibu ukimwi 100%
Mashuhuda waliopona kwa dawa zako wapo wapi?
Umesomea udoctor wapi?
Ulifanya tafiti zako wapi?
Na kama una dawa inaponyesha kabisa kwanini usitoke hadharani utangaze ili wanaotaabika wapone?
Kwa nini unahangaika watu waje pm na kwenye email tu?
Wewe sio tapeli wewe???
Neno Tapeli sio tusi? unataka nikushitaki kwa mwana sheria wangu akupeleke Mahakamani kwa kunitukana kuniita mimi (Tapeli)? unataka ni kopi haya uliyo yaandika kisha nimtumie mwanasheria wangu uje ukamatwe upelekwe mahakamani ukashitakiwe kwa kunitukana na kuniita jina sio la kwangu? unataka nifanye hivyo? niambie nikufungulie kesi mahakamani.
 
Analalamika anatukanwa wakati mitusi kaanza yeye
Alikua ana beep wengine uki beep tunakuendea hewani...alianza kuwajibu maneno ya kuudhi baadhi ya watu angalia comments zake ni contrary na umri wake...i will surely expose him coz hana mamlaka ya kutangaza kuwa anatibu UKIMWI lazima tumuhoji
 
neno Tapeli sio tusi? unatak nikushitaki kwa mwana sheria wangu akupelek mahakamani kw akuniita mimi (Tapeli)? unataka ni kopi haya uliyo yaandika kishanimtumie mwanasheria wangu uje ukamatwe upelekwe mahakamani ukashitakiwe kwa kunitukana na kuniita jina sio la kwangu? unataka nifanye hivyo? naimbie
Mpelekee huyo mwanasheria wako hata ikiwezekana sasa hivi ...maana hata mimi nimesha "screen shoot" matusi yako na uwongo wako
Alafu wewe utakuwa wa kwanza kuithibitishia mahakama kuwa unatibu vipi huo ukimwi na umesomea huo udoctor wapi
Ukishindwa kuthibitisha na kuonyesha vyeti vyako wewe ni tapeli tu hamna namna
 
umeanza mipasho?? hakukuwa na namna nyingine ya kujibu kitibabu zaidi??
Sijaanza mipasho mkuu wameanza kunitukana nina wajibu ndio wewe unasema mipasho unajuwa anaye anza kuleta maneno ya pumba ukimjibu unaonekana wewe ndio uliye anzisha maneno ya pumba ukitaka kupinga pinga tu sio kumuita mwenzako neno Tapeli sio heshima kimazungumzo.
 
Ulaaniwe mikono yako na mdomo wako kwa jina la Bwana yesu kristo isemwe amin
1477168194837.jpg
ni hekima na busara hii?
 
Na wewe unanitukana? Ninakuapia kwa jina la Bwana Yesu Kristo mdomo wako utaangamia ulaniwe mdomo wako kwa kunitukana mimi na watu waseme amin.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Je mimi kuitwa Tapeli unafurahi kwa mfano wewe utafurahi wewe baba yako mzazi kuitwa Tapeli ? Kuwa na adabu na heshima katika kuzungumza. Kama huna kitu cha kuzungumza bora unyamaze kimya.
Umeanza kuongea shit watu wanakupa makavu tu...
 
Jamani nimeuliza bse nimeshapata tetesi pande zote. Dawa za kifamasia na hizi mbadala. Na nimethibitishiwa kuna waliopona. Jaribuni na nyie kuulizia au kufanya kautafiti kadogo
Sema unao na unafanya utafiti. Lkn kwa uhakika hakuna dawa ya kuponya umalaya.
 
retrovirus no.3 human immunodefficiency virus has no specific treatmets at all
 
Vijana wasio lelewa vizuri na wazazi wao wananitukana watoto wa haram. Unajuwa Hawa Member wapya wa Jamii Forums wengi wao wametokea Facebook kule kwenye kubishana na kutukanana kimatusi wanapoiona Thread ay mtu basi wanakuja kuiharibu kwa kuleta maneno ya matusi.
[emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom