Kupona Ukimwi

Status
Not open for further replies.
W E W E N I T A P E R I
 
Kama mimi ni tapeli nilimtapeli mkeo nikamtibia na akapona unayo habari hiyoı?
Angalia upuuzi wako hapa then unasema wewe ni mtu mzima...mtu mzima hawezi kuandika maneno ya kipuuzi kama hayo
 
Reactions: jmi
retrovirus no.3 human immunodefficiency virus has no specific treatmets at all
Mkuu Hakuna dawa ya kutibu Ugonjwa wa ukimwi Ma-hospitalini . Lakini kwa dawa za kienyeji aka Dawa za Mitishamba Ukimwi unatibika.

Dr. Sebi - "I Don't Treat AIDS, I CURE AIDS!"

Dawa zipo mbona, ila mitishamba, matunda na duaa,

Kwa hospitali sijawahi sikia.
Mm hz za hosp ndonmimesikia mwaka huu ma sio dawa rasmi ni kulazimisha matumizi. Ni kama vile kuchukua indocede dawa ya mifupa ukamtega panya naye akafa
 
Kweli sasa nimeamini kuna TAPELI moja huku JF, tena tapeli kweli.. Daaah! Matusi makubwa namna ile! Moderator Maxence Melo Invisible hebu njooni kwenye huu uzi muone haya matausi ya mama zetu, kwa huyu mtu anaejiita anatibu ukimwi..
 
Huyu jamaa eti anatishia watu wanasheria
Eeeh
Asiyejua sheria ni nanii?
Mtu kuanza kukuita tapeli jua ameona kitu
 
Je mimi kuitwa Tapeli unafurahi kwa mfano wewe utafurahi wewe baba yako mzazi kuitwa Tapeli ? Kuwa na adabu na heshima katika kuzungumza. Kama huna kitu cha kuzungumza bora unyamaze kimya.
[emoji85] [emoji85] kumbe wewe ni baba eee?
 
Sema unao na unafanya utafiti. Lkn kwa uhakika hakuna dawa ya kuponya umalaya.
Jmi ss huko ni kukosa uelewa ndg yangu so ungefurahi nikipost mawazo yako?? Afterall hakuna aliyekulazimisha kuchangia.nimejitahidi kuweka historia nadhani umekua mvivu kusoma tangu mwanzo. Jiongeze mkuu
 
Kweli sasa nimeamini kuna TAPELI moja huku JF, tena tapeli kweli.. Daaah! Matusi makubwa namna ile! Moderator Maxence Melo Invisible hebu njooni kwenye huu uzi muone haya matausi ya mama zetu, kwa huyu mtu anaejiita anatibu ukimwi..
Huyu mzee amepatikanika hawezi kuleta upuuzi wake hapa then tukamnyamazia tunataka uthibitisho usio na shaka kuwa ametibu ukimwi otherwise afunguliwe mashtaka ya public defamation kuna watu wanasoma miaka na wanasayansi kila siku wanafanya tafiti ya kugundua dawa ya UKIMWI then from no where huyh tapeli anataka kutuaminisha he can cure HIV\AIDS....pathetic
 
Reactions: jmi
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…