Kuporomoka Hadhi ya Tanzania kwenye Diplomasia ya Kimataifa: Awamu ya 5 Imetuangusha

Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania.

1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge D'affaire.

2. EU ilimuita nyumbani Mkurugenzi wake wa Tanzania Roeland van De Geer mnamo Novemba 2018, ilikuwa mwaka mzima hadi ilipomteua Manfredo Fanti kujaza nafasi hiyo.

3. Waziri wa Mambo ya Nje (Secret of State) wa USA Mike Pompeo amekwishaanza kutoa majina ya watu wasioruhusiwa kwenda USA. Ameanza na Paul Makonda kutokana na rekodi yake mbaya kwenye kunyang'anya haki ya kuishi ya Watanzania wengine, kudhibiti upinzani, kukandamiza uhuru wa kujieleza nk

4. Donald Trump ameitaja Tanzania pamoja na Kirgystan, Eritrea, Nigeria na Sudan kati ya nchi ambazo wananchi wake hawatoshiriki green card lottery na watadhibitiwa wanapoingia USA

5. Taasisi zisizo za Kiserikali za Amnesty International, Transparency International na Human Rights Watch zimeiorodhesha Tanzania kama nchi ambayo imeporomoka katika usimamiaji wa haki za Binadamu na Ufisadi. Kwa mfano Transparency International inaiorodhesha Tanzania kama nchi ya 99 katika nchi 180 kwenye corruption Index

6. Mashirika ya misaada ya kimataifa kama WB, EU, USAID, SIDA wamekuwa yakisita au yakipunguza msaada ya Maendeleo kwa Tanzania

Hayo sita ni machache kati ya mengi ambayo yanaifanya nchi yetu ambayo ilikuwa ni Tegemeo kwa amani na utulivu wa eneo la maziwa makuu ionekane nchi ya kawaida tu kama Burundi au Malawi. Toka tupate Uhuru mwaka 1961 Tanzania iliheshimika sana katika duru za diplomasia ya kimataifa kutokana na juhudi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Marais wote 3 waliomfuata. Hali ilivyo kwa kipindi cha JPM siyo nzuri kabisa na siyo jambo la kuacha lipite hivi hivi.

*SULUHISHO*
Tufanye mabadiliko uchaguzi wa 2020, twende na Bernard Camilius Membe iwe ndani ya CCM au Upinzani.
Lugha inaweza kukupa ulemavu endapo utakuwa hauimudu.
 
Diplomasia ni kitu gani wewe? mbona diplomasia haikutuletea flyover, ndege, mradi wa kinyerezi etc.
Fly over imekusaidia nini? Foleni kwa watu wa Temeke na Buguruni kama kawaida. ATCL inafanya kazi kwa hasara pamoja na kuwa monopoly baada ya kuwafukuza FastJet.

Ila kwa vile nyie wengine ni marobot ya kushangilia kila kitu endeleeni kusifia na kuabudu.
 
Sasa wanao msifu na kumwabudu magufuli wanafanya hivyo kwa sababu zipi?Kujitoa kwenye mkata wa aina ni dalili kwamba tuna serikali ya hovyo na iliyojaa wezi
Mnamo Novemba 2019, Tanzania imeondoa Ibara ya 34(6) kwenye sheria zake inayoruhusu mwananchi mmoja mmoja na NGO's kuishitaki kwenye mahakama ya Afrika.

Je huu ni uoga au imeona inafanya makosa mengi.??

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ilianza rasmi shughuli zake huko Addis Ababa, Ethiopia mnamo Novemba 2006, lakini Agosti 2007 ilihamia Arusha, Tanzania

Ilianzishwa na Itifaki ya Hati ya Kiafrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoanza kutumika mnamo Januari 25, 2004 baada ya kupitishwa na nchi zaidi ya 15 Wanachama wa Umoja wa Afrika

Inalenga kuhakikisha Usalama wa Haki Za Binadamu na watu barani Afrika, ikikamilisha na kuimarisha kazi za Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu.

Mahakama hiyo ina Mamlaka juu ya kesi zote na mizozo iliyowasilishwa juu ya tafsiri na Matumizi ya Hati ya Kiafrika ya Haki za Binadamu na Watu, Itifaki na chombo kingine chochote.
 
Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania.

1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge D'affaire.

2. EU ilimuita nyumbani Mkurugenzi wake wa Tanzania Roeland van De Geer mnamo Novemba 2018, ilikuwa mwaka mzima hadi ilipomteua Manfredo Fanti kujaza nafasi hiyo.

3. Waziri wa Mambo ya Nje (Secret of State) wa USA Mike Pompeo amekwishaanza kutoa majina ya watu wasioruhusiwa kwenda USA. Ameanza na Paul Makonda kutokana na rekodi yake mbaya kwenye kunyang'anya haki ya kuishi ya Watanzania wengine, kudhibiti upinzani, kukandamiza uhuru wa kujieleza nk

4. Donald Trump ameitaja Tanzania pamoja na Kirgystan, Eritrea, Nigeria na Sudan kati ya nchi ambazo wananchi wake hawatoshiriki green card lottery na watadhibitiwa wanapoingia USA

5. Taasisi zisizo za Kiserikali za Amnesty International, Transparency International na Human Rights Watch zimeiorodhesha Tanzania kama nchi ambayo imeporomoka katika usimamiaji wa haki za Binadamu na Ufisadi. Kwa mfano Transparency International inaiorodhesha Tanzania kama nchi ya 99 katika nchi 180 kwenye corruption Index

6. Mashirika ya misaada ya kimataifa kama WB, EU, USAID, SIDA wamekuwa yakisita au yakipunguza msaada ya Maendeleo kwa Tanzania

Hayo sita ni machache kati ya mengi ambayo yanaifanya nchi yetu ambayo ilikuwa ni Tegemeo kwa amani na utulivu wa eneo la maziwa makuu ionekane nchi ya kawaida tu kama Burundi au Malawi. Toka tupate Uhuru mwaka 1961 Tanzania iliheshimika sana katika duru za diplomasia ya kimataifa kutokana na juhudi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Marais wote 3 waliomfuata. Hali ilivyo kwa kipindi cha JPM siyo nzuri kabisa na siyo jambo la kuacha lipite hivi hivi.

*SULUHISHO*
Tufanye mabadiliko uchaguzi wa 2020, twende na Bernard Camilius Membe iwe ndani ya CCM au Upinzani.

Twende na Membe
 
Mkuu umeenda vizuri katika chapisho lako lakini itimisho lako ati twende na jamaa yake JK alotuingiza mkenge ata D'''' uchwara akaja mm inamashaka makubwa mkuu wetu
 
Mazingira yaliyopo wanasiasa wengi wametishiwa na waka back off. Hata Upinzani wamevurugwa sana na siasa za chuki za Jiwe. Anahitajika mtu jasiri kutuvusha tu ili kurudi kwenye nchi yetu nzuri yenye upendo na amani.

Huko tulikotoka kuwa CCM au CHADEMA ilikuwa sawa na kuwa Yanga/Simba. Hata kwenye familia au kazini mnaweza kubishana mambo ya mpira then mkimaliza mnaendelea kama family.

Kwa awamu hii hiki kitu hakipo ndiyo maana hata mgonjwa akilazwa hospitali chama hasimu wanaogopa kwenda kumuona. Hii siyo Tanzania aliyoipigania Nyerere, labda ni Burundi au Rwanda.
 
Upotoshaji mtupu,mwakilishi wa EU alifukuzwa nchini baada ya kuanza kujihusisha na siasa za nchi hii
Haya matukio yanaonyesha kuporomoka kwa hadhi ya Ki-diplomasia kwa Tanzania.

1. Tanzania imekaa bila Balozi kamili wa USA kuanzia Oktoba 2016 alipoondoka Mark Bradley hadi Novemba 2019 alipoteuliwa Dr Don Wright. Kwa miaka 3 tulikuwa unafanya kazi na Inmi Patterson ambaye kicheo ni Charge D'affaire.

2. EU ilimuita nyumbani Mkurugenzi wake wa Tanzania Roeland van De Geer mnamo Novemba 2018, ilikuwa mwaka mzima hadi ilipomteua Manfredo Fanti kujaza nafasi hiyo.

3. Waziri wa Mambo ya Nje (Secret of State) wa USA Mike Pompeo amekwishaanza kutoa majina ya watu wasioruhusiwa kwenda USA. Ameanza na Paul Makonda kutokana na rekodi yake mbaya kwenye kunyang'anya haki ya kuishi ya Watanzania wengine, kudhibiti upinzani, kukandamiza uhuru wa kujieleza nk

4. Donald Trump ameitaja Tanzania pamoja na Kirgystan, Eritrea, Nigeria na Sudan kati ya nchi ambazo wananchi wake hawatoshiriki green card lottery na watadhibitiwa wanapoingia USA

5. Taasisi zisizo za Kiserikali za Amnesty International, Transparency International na Human Rights Watch zimeiorodhesha Tanzania kama nchi ambayo imeporomoka katika usimamiaji wa haki za Binadamu na Ufisadi. Kwa mfano Transparency International inaiorodhesha Tanzania kama nchi ya 99 katika nchi 180 kwenye corruption Index

6. Mashirika ya misaada ya kimataifa kama WB, EU, USAID, SIDA wamekuwa yakisita au yakipunguza msaada ya Maendeleo kwa Tanzania

Hayo sita ni machache kati ya mengi ambayo yanaifanya nchi yetu ambayo ilikuwa ni Tegemeo kwa amani na utulivu wa eneo la maziwa makuu ionekane nchi ya kawaida tu kama Burundi au Malawi. Toka tupate Uhuru mwaka 1961 Tanzania iliheshimika sana katika duru za diplomasia ya kimataifa kutokana na juhudi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere na Marais wote 3 waliomfuata. Hali ilivyo kwa kipindi cha JPM siyo nzuri kabisa na siyo jambo la kuacha lipite hivi hivi.

*SULUHISHO*
Tufanye mabadiliko uchaguzi wa 2020, twende na Bernard Camilius Membe iwe ndani ya CCM au Upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana uzi hau trend kwa sababu umejaa pumba,masaa manne wachangiaji 20,pathetic

Mnalilia misaada badala ya kujikwamua wenyewe, kweli wabongo tunahitaji maombi, mtu anataka mkubali ushoga halafu bado mnasema diplomasia! Km ndio hiyo ujinga no ushoga hatutaki na Mungu atatuvusha uchaguzi huu bila jasho we kumbuka hii post. Mwanaume unaambiwaje ukubali ushoga na unajiita mwanaumeee? Acheni ujinga na upumbavu wa kukubali ushoga.

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
'SULUHISHO*
Tufanye mabadiliko uchaguzi wa 2020, twende na Bernard Camilius Membe iwe ndani ya CCM au Upinzani.'

Thread nzuri ilipofikia kwny suluhisho hapo ndipo ulipoharibu,Membe amekaa serikalini miaka yote ana jipya gani?Jimbo lake la mtama lenyewe hakuna kitu cha maana amefanya.

Wana CCM ni wale wale tu(haijalishi agombee kupitia chama gani).

dodge
 
Mnalilia misaada badala ya kujikwamua wenyewe, kweli wabongo tunahitaji maombi, mtu anataka mkubali ushoga halafu bado mnasema diplomasia! Km ndio hiyo ujinga no ushoga hatutaki na Mungu atatuvusha uchaguzi huu bila jasho we kumbuka hii post. Mwanaume unaambiwaje ukubali ushoga na unajiita mwanaumeee? Acheni ujinga na upumbavu wa kukubali ushoga.

Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Kwa nini sasa mnabembeleza mpewe hizo USD 500 M kutoka WB kwa ajili ya elimu? Na kwa nini juzi mumekinga USD 132 M kutoka EU?
Au umeandika tu kutoka kwenye vidole wakati kichwani kwako wewe ni tabular rasa tu!!
 
Mungu tusaidie sisi watesi wako awamu hii tumepatikana ona wale jamaa zetu wa magharibi na mashariki ya Kati wanavyotuchora kwa upumbavu wetu usio tusaidia kitu
 
Back
Top Bottom