Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Mm ninachoelewa watu hukimbia changamoto inayowatesa na kwenda kwenye unafuu, kwann uteseke na gari ambayo kuna mbadala wake na nikali hata kimuonekano?

Brevis inzingua sana Abs master na bei yake ni laki 7 na kuendelea, na unaweza kufunga leo ukakaa nayo muda kidogo tu ikafa tena, changamoto hii imewafanya watu wengi kichukia Brevis....ndio maana watu wakaona wajisalimishe kwa mnyama Crown ambaye hana changamoto kama hyo.

W jiulize kwann Crown ni vigumu kushuka bei hadi sasa na wakati ina matoleo ya mapya zaidi. Inamaana haiwaboi wamiliki wake, inawapa wanachohitaji.
 
Hii ishu ya master ni kweli.
 
Mnaogopa brevis yaomesha wote vipato vinachechemea. Na wanao kokota mi v8 na mafungu jeshi mengine wasemeje?

NB mimi sina hata vitz old model. Kwahiyo tusiulizane
Kwa akili ya kawaida mtu mwenye kipato kikubwa atanunua Brevi ili apate nn? Mtu mwenye hela ndio huyo uliyesema anamili v8. Hata uwe ww siamini kama utapata hta wazo la hyo gari zaidi ya kuwaza magari makali zaidi
 

pia Crown ina offer vitu vingi zaidi ya brevis

Gari yenyew ishakuwa discontinued na manufacturers

Ukifatilia Vizuri soko la used crown limepanda sana
Hasa baada ya kupandishiwa ushuru

Kuagiza sahivi andaa 17-20 GRS180

Mkononi iliyonyooka kuanzia 10-14

Crown pia ina eco-mode ambayo ina consumptions nzuri ya mafuta kwa sisi tunaendesha vizuri tunapata 13km/L
 
N kweli kabisa, watu hawakimbii gari bila sababu
 
Mkuu brevis inafika 10km/l
 
Aisee kumbe bei zimepanda hivi? Mpaka 17m ?
 
Aisee kumbe bei zimepanda hivi? Mpaka 17m ?

Bila shaka Ngoja nikupe hii


Kuitoa japan mpk bongo C&F $4000-5000
(Ambapo kwa rate ya leo ni 9.4m-11.8)

Hapo nimeangalia the cheapest Crown Athlete with at least less than 150k mileage

Ushuru+Registration kwa GRS 180 kwa sasa ni 8.6m

So kwa haraka +clearance hapo jumla appr 17m-20m


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…